Urafiki kati ya ME & KE unawezekana ?

Urafiki kati ya ME & KE unawezekana ?

JAMAN NA MUWALE TU HAKUNA NAMNA POPOTE AKIONEKANA NA NI UTAYARI WAKE APEWE KAZ
 
Urafiki huo unawezekana sana tu mbona...

80% ya marafiki zangu ni ME
 
Kila kitu kinawezekana
Inategemea unaishi nao kwa mfumo gani.
 
Hakuna urafiki hapo,wanaume ni wakuishia salamu na story ndogondogo
mwanamke unakua na lengo la urafiki wa kawaida tu ila mwanaume siku zooote anaharibu mana ana hidden agenda..
 
Urafiki upo,na kuliwa pia kupo palepale,wenyewe wanaita friends with benefits
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom