Urafiki kati ya ME & KE unawezekana ?

Urafiki kati ya ME & KE unawezekana ?

He hee hee
Huo urafki labda uwe wa mbali
Mbali maaana kama
Niwa karbu na mnatuliaga
Gheto kupga mastory hapo

Lazma mgegedo uhuske otherwise
Mzeee tu uzubae

Kama hawa wa 4m4 ndo walioshindikana aseeeee waaaaaa

wewe naongelea watu wazima wa 31's kwenda mbele sio watoto wa 4m4 🙁
 
Hawa wanaojiletaga wnyw
Ukiwaacha tu ujue mtaan
Jina lako lnaharibika

Hawakawii kukuita hanith

Na kama huo mtaa m wazaramo wamezd
Bhas ujiandae kurud
Kwa nyumba night na kutoka
6 asubuh ili
Kuepukana na hilo zogo
HAHAHAAA NOMA SANA KUKAA MTAANI HUKU UNAVIZIA
 
wewe naongelea watu wazima wa 31's kwenda mbele sio watoto wa 4m4 🙁
Hee,,hawa viumbe wakishikwaga
Na ngenye hawanaga 31+
Wala under 20

Wote wanakuaga tu kama
Katoto kaliko zaliwa leo
 
Inaonekana Mr.Natafuta hili jambo linakuchanganya

Kwa upande Wangu hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanaume labda awe ndugu yako ila ikiwa mnaweza kuoana basi hakuna urafiki

Labda tu ile tunasalimiana sababu tunafanya kazi pamoja biashara n.k
 
IMEKAAJE AU USINGIZ
 
h
Hee,,hawa viumbe wakishikwaga
Na ngenye hawanaga 31+
Wala under 20

Wote wanakuaga tu kama
Katoto kaliko zaliwa leo
ahahahahahahahaah patia yeye maziwa yale yaunguzayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom