Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
Sana mm me ndo watu wangu wa karibu sana,mpka siri ya rohoni sisiti kumwambia.
Ww ni Ke?!...hiyo avatar na jina balaa tupu...bendera chuma na mlingoti chuma
Sana mm me ndo watu wangu wa karibu sana,mpka siri ya rohoni sisiti kumwambia.
Umpe middle finger yanini wakati ni opinion yake
Ww ni Ke?!...hiyo avatar na jina balaa tupu...bendera chuma na mlingoti chuma
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1]h
ahahahahahahahaah patia yeye maziwa yale yaunguzayo
Sio sehem zote unajibu unavyojisikia hapa ni bamper tu bumper sio das laam View attachment 466622
Wanaume wa daa wanatuangusha mno mashoga wao urafiki na wadada wao griiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🙁
Mkuu,kiukweli kuna muda najionaga bwege fulani hivi,maana nikichelewa kidogo unakuta keshanizoea kiasi kwamba kupeleka ombi hata halisikilizwi.Sana sana nasisitizwa tusiingie kwenye mahusiano maana siku tukiachana hata salaam itakua hakuna.Bas mimi na wewe kama vile sayari zetu ni tofauti mimi kila aliejaliwa kuwa rafiki tuliishia kupambana bed
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Tapatia yy ya kimasai
Mkuu,kiukweli kuna muda najionaga bwege fulani hivi,maana nikichelewa kidogo unakuta keshanizoea kiasi kwamba kupeleka ombi hata halisikilizwi.Sana sana nasisitizwa tusiingie kwenye mahusiano maana siku tukiachana hata salaam itakua hakuna.
Bro unakoelekea siko,mimi sio wa DarWanaume wa daa wanatuangusha mno mashoga wao urafiki na wadada wao griiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🙁
Bro unakoelekea siko,mimi sio wa Dar
Urafiki unawezekana mkuu..!
Mimi mbona nina marafiki wengi tu wa kike, kuna niliosoma nao, kuna niliowahi kupanga nao nyumba moja,majirani na hata pia kuna wanafanyakazi wenzangu. Na sio kwamba tulikuwa tunakunjuana ( as you call it..LOL ).
Ila kiukweli changamoto zipo za hapa na pale, maana miongoni mwao kuna wengine walikuwa ni wazuri hata kuliko demu wangu, halafu wengine mbali na uzuri wao unakuta tumezoeana kinomanoma.
Ila sometime kujilindia heshima, ilinibidi nijifunze kutazama na kupotezea.
Inawezekana mkiwa serious wote. Mimi nimewahi kuwa na rafiki wa kike wakaribu wawili lakini nikaishia kumla mmoja coz alijilengesha. Lakini huyo wa 2 ni mkali balaa alikua mpaka analala rum kwangu na sijawahi kumla mpaka leo tupo friends vizuri tu.
Ila kuwa urafiki na hii jamii ya upande wa pili hii inahitaji moyo kweli.Inabidi nibadili mfumo wa kuishi nao.Bamper to bamper sasa unastuka nini ? na wa daa sio wote kuna wakiume mbaya mno hapo kino
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hhahhahahaha jaman hawa watu inawezekana kweli ?
Ila kuwa urafiki na hii jamii ya upande wa pili hii inahitaji moyo kweli.Inabidi nibadili mfumo wa kuishi nao.
Habari nyie watu
Aloo niko na kaswala kananipa shida flan, sielewi ni kwangu tu au kwa wanaume wote. Huu urafiki kati ya mwanaume na mwanamke ivi unaendanga hivyo hivo bila kugusana ?
Kwakweli upande wangu nikiwa na rafiki wa kike tunaishiaga kunjanjuwana tu mwisho tunaitana dada & kaka. kuna mmoja tulifikia mahali kubariki undugu kabisa ila sijui ilikuwaje tu hata yeye nikamgeuka sasa sijui yeye ndio alinigeuka au mimi ndio nlimgeuka nlichostukia nikwamba tumenjanjuwa na kibaya zaidi ilikuwa mara tatu kwa siku kwa siku tano
WAZE HAWA WATU WAKIWASOGELEA MNAKUWA MARAFIKI TU ?
Kimsingi, hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke.....watu tunadanganyana tu.