Urafiki huu wa Lowassa na Membe umeanza lini??

Acha kutunga tunga vijineno vya kuokoteza Alf unatuletea hapa...... Sasa hapo Membe na Lowasa vimeingiaje?
 
Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!
ACHENI KUOTA NDOTO ZA MCHANA. MAGUFULI ATAKUWA MWENYEKITI WA CCM NA MGOMBEA MWAKA 2020. HUYO LOWASSA HATOKUWA NA MVUTO TENA NA WALA HATOTEULIWA NA CDM KUGOMBEA. KUMBUKENI DR SLAA ALITUPWA DAKIKA ZA MWISHO. CDM HAIAMINIKI HATA KIDOGO
 
Ufisadi bado anapanga mikakati eti tumuache tu!! Lazima tumzonge popote alipo yupo tupo naye
 
Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!
Unapo andika jina la mtu anza na herufi kubwa.
 
Mkuu naona unajifunza kuandika
 
Tabia za kushutumiana wala hazina maana halafu pia kwenye jumuiya kubwa na babalao kama CCM lazima kuna kutofautiana mitizamo jambo la kawaida na hiyo ndio demokrasia, acheni kufanya utabiri na kuchonganisha watu kwa maslahi yenu binafsi, lazima tuonyeshe demokrasia lakini mwishowe Magu ndio Chairperson.
 
Kama hawa ndiyo vijana tulio nao, basi hakuna matumaini mazuri kwa siku zijazo.

Mtu anaandika habari yake, haina chanzo, haina ushahidi hata sehemu moja, maelezo tofauti na kichwa cha habari na tofauti ya jumuisho. Furaha yake ni kuona ameandika jina la Lowasa na Membe! Kwa uandishi kama huu, na kama huyu ni graduate, basi nchi hii tumeua elimu, na vijana wetu hawana silaha za kushindana na vijana wa mataifa mengine kiweledi katika karne hii ya ushindani mkubwa.
 
Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!
haya njoo uchukue ndizi ule
 
Kichwa cha habari na maelezo ni tofauti kabisa! invalid argument! OOPS! can not find server, if the problem persist please consult your system administrator or supplier.
 
Lowasa na Membe wameingiaje katika habari hii??
 
Kama hawa ndiyo vijana tulio nao, basi hakuna matumaini mazuri kwa siku zijazo.

Mtu anaandika habari yake, haina chanzo, haina ushahidi hata sehemu moja, maelezo tofauti na kichwa cha habari na tofauti ya jumuisho. Furaha yake ni kuona ameandika jina la Lowasa na Membe! Kwa uandishi kama huu, na kama huyu ni graduate, basi nchi hii tumeua elimu, na vijana wetu hawana silaha za kushindana na vijana wa mataifa mengine kiweledi katika karne hii ya ushindani mkubwa.
Nawewe kama ndo wazee tulionao basi tumekwisha kama taifa
 
ukiona mtu anacheza mbele nyuma pembeni juu chini kushoto kulia ili mradi ikulu aingie hata kwa wewk ndo afe ujue atafanya jambo
 
Back
Top Bottom