Urafiki huu wa Lowassa na Membe umeanza lini??

Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!
Hivi unafanyaje mpaka mtu kuamua kuandika Uharo kama wa mtoa mada!??
 
Kapumzike halafu soma tena ulichoandika. Labda kuna ulichokisahau. Basi kiongezee ili mada yako ipate mantiki. Kama bado wanakulipeni bk2, kwa vitu kama hivi, basi lipo tatizo kubwa zaidi huko.
 
unafiki unagarimu maendeleo ya taifa letu na kwa Africa kwa ujumla!!hivi ni lazima uwe rais ndo uwasaidie wananchi Wa taifa lako??? mtu anaimba eti nitawasaidia wananchi nachukia umaskini!!!lakini hata kuanzisha ka NGO kupambana na umaskini au kusaidia wananchi hawezi kuanzisha!!mfano natamani nifike monduli ili nione maendeo yaliyopo kama yanafanana na hizi nyimbo za 2020 nitaing'oa CCM!!
Kakope nauli lumumba
 
Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!

Wewe ndo ulotumbuliwa UDOM na magufuli pale UDSM pole yako kasome QT Urudi humu
 
Alioko= walioko
Kalata=karata
Kitumbuliwa=kutumbuliwa
Hebu pitia kazi yako mkuu ili iwe alau na hamu ya kuendelea kusoma. Marekebisho buguru. Elimu elimu elimu.
 
Ujaelewa??
 
Mbona sijaona connection ya Membe na Lowassa hapo? kichwa cha habari na habari yenyewe viko tofauti.

Ndio great thinkers wa humu. .Maelezo mengi lakini kichwa cha thread na yaliyoandikwa haviendani.
Kama lugha tu ya kuandika ni shida.
Elimu ni adui namba moja wa taifa hili
 
Nimerudia kuiosoma mara tatu hii post ili nione connection ya urafiki wa Membe na Lowasa katika kumhujumu Magufuli sijaona.....naona harakati za kuchafuana ccm zinaendelea
 
Mbona sijaona connection ya Membe na Lowassa hapo? kichwa cha habari na habari yenyewe viko tofauti.
Huyu mleta mada sijamuelewa mpaka sasa,mi nilidhani labda Lowasa na Membe wameungana pamoja kumbe blaa blaa tu
 
Mbona CCM mnahangaika hivyo? Kama uenyekiti wa chama zamu inajulikana ni ya Rais Magufuli. Si mngempea hata pale Lumumba kazi ziendelee? Hayo maigizo mnayokwenda kuyafanyia Dodoma ya nini,,halafu mnawasingizia wasiohusika, mara Membe, mara Lowassa! Ya nini?
Mkuu tuvyeo tunawafanya walopoke tu hapo wako kwenye mashindano, soon wataanza kushikana uchawi vibaraka wao Kwa wao
 
Yaani mkikaa mnamuota Lowasa mkilala mnamuota Lowasa!naona bila Lowasa maisha basi tena!
 
Back
Top Bottom