Urafiki huu wa Lowassa na Membe umeanza lini??

Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!
Jpm ndio mshindi wala hakuna haja kuchafuana kama mkakati wa ushindi wa champion wetu. Wananchi wameshapata paka anayekama panya wala hawahitaji kuambiwa zaidi. Wabaya watashindwa na kuabika.
 
Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!

Ili uweze kupata buku 2 za Lumumba,sharti namba 1 ni lazima umtaje Mh.Lowassa katika hoja yoyote iletwayo na "Lb2 project fame",mnatia kinyaa sana na propaganda zenu za kizamani.
 
Ujumbe kama umekufikia nipoa "it si not an kiswahili exm!! Uwezi jua nilisoma na nilikulia wapi!!
an Kiswahili what???

kumbuka kwnda chuo ni minimum 2D's..[emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kikwete namkubali sana akosei yule nyie subirini muone atakavyo cheza kama Pele! Magufuli ndiyo mwenye kiti
Wanao hangaika kutaka magu asiwe mwekiti ni wana ccm sisi wengine haituhusu hivyo hizo ngonjera zenu pelekeni huko huko kwenu lumumba
 
We ndo ujaelewa soma na utafakari utaelewa,,

kwa taarifa yako Mimi sijui hata Lumumba
Sasa kama huijui Lumumba, hizo habari za ndani Lumumba unezipatia wapi?
Unaota ndoto na kuleta hapa kama habari?
 
unafiki unagarimu maendeleo ya taifa letu na kwa Africa kwa ujumla!!hivi ni lazima uwe rais ndo uwasaidie wananchi Wa taifa lako??? mtu anaimba eti nitawasaidia wananchi nachukia umaskini!!!lakini hata kuanzisha ka NGO kupambana na umaskini au kusaidia wananchi hawezi kuanzisha!!mfano natamani nifike monduli ili nione maendeo yaliyopo kama yanafanana na hizi nyimbo za 2020 nitaing'oa CCM!!
 
Sijaona uhusiano kati ya Eddo na Membe kama ulivyotanabaisha katika kichwa cha mjadala. Kikubwa hapa umejaribu kuokoteza maneno ya stendi na vijiwe vya kahawa kwa lengo la kutulisha uongo ulioza.
 
Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!
Umekunywa ulanzi nini!
 
Technically...Membe amechukizwa na kukatwa....na kiongozi imara mwenye uzoefu wa mambo ya nje kwa miaka 10.
Ukawa wambembeleze tu ajiunge awe mgombea wao...ni turufu ambayo ccm wali ipoteza kwa kuabudu makundi
 
Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!
Kanywe uji ukalale
 
Unatakiwa ujue vitu vifuatavyo..

MOSI,hujui kitu chochote..
PILI,hata kuandika hujui maana naona makosa tele katika kila habari yako..mfano; Thaifu badala ya DHAIFU..
TATU,hujui matumizi ya (R) na (L)

NNE,habari yako imevunjikavunjika na hamna connection yoyote Kati ya LOWASSA na MEMBE..

Nasisitiza tena..haujui chochote na UACHE tabia ya kusikiliza na kufikiria vitu KICHWANI na kuvileta humu ukijinasibu kama MNYETISHAJI..
 
Inaonekana mzimu wa Lowassa ndani ya CCM una nguvu kuliko ilivyojulikana. Kwa nini kuna muweweseko wa kiwango hiki?
 
Mh. Mkuu wa Mkoa Makonda, zuia kabisa Dawa za kulevya, SHISHA na Bangi mkoa wa Dar, vijana wanaharibikiwa...

Unaona kama huyu, akili za Shisha hizi... ukimpa exam huyu atachora katuni za Mh. Rais au Lowassa..!! Shisha ni mbaya sana
 
Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!
Huyo mjumbe aliyesema hivyo basi atasemea tu huko huko vichochoroni. Baada ya Mkunano muulize ilikuaje umsikie...!!

CCM kama Korea vile!!
 
Kumbe kusoma na kuandika sio kuelemika.Kuna kitu gani cha kujadiri hapa?Heri ukaoanisha ubongo kabla ya kuandika upupu
 
mkuu technically vipi tena, mbona umeshindwa kuconnect kichwa cha habari na andishi lako? nilitamani kuona urafiki wa Membe na Lowasa......
 
Back
Top Bottom