Urafiki huu wa Lowassa na Membe umeanza lini??

Urafiki huu wa Lowassa na Membe umeanza lini??

Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!

Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!

Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!

Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!

Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!

Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!

Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!

Maswali ya kujiuza

Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???

Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??

Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!

Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??

Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!

Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!

TukutanDodoma

Asatee!!
Du Mkuu ukiandika jaribu kuhariri kabla huja post tafadhali!
 
Jpm ndio mshindi wala hakuna haja kuchafuana kama mkakati wa ushindi wa champion wetu. Wananchi wameshapata paka anayekama panya wala hawahitaji kuambiwa zaidi. Wabaya watashindwa na kuabika.
Upo sahii mkuuu
 
Katika ile buku 7 inaonekana buku 5 pekee ni kwa kutaja jina la Lowassa katika namna hasi, buku 2 ni kwa kupost tu mengineyo.
 
kama hupajui Lumumba mtafute mwenzio Elizaborn atakupeleka.
kwa ufupi umeandika pumba tupu.nungekua mimi ndio nawalipa kuanzia leo ningekuondoa kwenye payroll moja kwa moja
Pumba unapita kuzisoma povu lanini?
 
unafiki unagarimu maendeleo ya taifa letu na kwa Africa kwa ujumla!!hivi ni lazima uwe rais ndo uwasaidie wananchi Wa taifa lako??? mtu anaimba eti nitawasaidia wananchi nachukia umaskini!!!lakini hata kuanzisha ka NGO kupambana na umaskini au kusaidia wananchi hawezi kuanzisha!!mfano natamani nifike monduli ili nione maendeo yaliyopo kama yanafanana na hizi nyimbo za 2020 nitaing'oa CCM!!
Kula like za kutosha
 
Mimi kada wa CCM Lakini hapo Kwenye kumkata JJP Magufuli mwaka 2020 inaonesha huijui vyema katiba ya ccm inasemaje.
 
Wanajisumbua bureeee atakayetangazwa ndiye ameshinda na atashinda kwa kishindooo huu ndo utaratibu wetu na matokeo always yanaheshimiwa Chama dume dume la mbegu kama noma na iwe noumerrr
Atakayetangazwa!!!!!????
Kwani huo ni uchaguzi??
 
Technically...Membe amechukizwa na kukatwa....na kiongozi imara mwenye uzoefu wa mambo ya nje kwa miaka 10.
Ukawa wambembeleze tu ajiunge awe mgombea wao...ni turufu ambayo ccm wali ipoteza kwa kuabudu makundi
Mkuu upo sahii wanaeza mchukua hawa watu walivyo wanafiki!!
 
July 23 ni chereko nderemo na vifijo....pale Magu atakapokua Mwenyekiti.
 
Pumba unapita kuzisoma povu lanini?
Membe ni zaidi ya Umuongeleavyo. ukitaka kujua Membe ni nani Muulize Lowassa na Genge lake ndani ya ccm. hata Magufuli anajua Membe amechangia kwa aslimia kubwa yeye kuwa Rais. unadhani bila harakati na ushushuu wa Membe kumkalia kooni Luwassa unadhani Magufuli hata tano bora angefika? ken..gee wewee hujui lolote subiri posho ukalale
 
Mnafiki mkubwa wewe si ulikuwa unajifanya chadema eti Leo tukutane Dodoma buku Saba zitakutoa roho endeleleni kuchafua majina ya watu tu
 
Hebu acheni kulitaja jina la Lowassa katika Mambo yenu ya kipuuzi
 
Uliwakuta wapi Membe na Lowasa wakipanga mikakati
 
mbona sijaona connection ya Membe na Luwassa hapo? kichwa cha habari na habari yenyewe viko tofauti.
hongera naona na wewe umeingiza posho leo
Sishangai kwa umbea ukalipwa posho,maana ndo kipimo
 
Back
Top Bottom