Upweke unanitesa sio kawaida jamani

Upweke unanitesa sio kawaida jamani

Jamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke.

Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza.

Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani.

Natajitoa sadaka kwa mwanamke yeyote atakayejitokeza na kunipa moyo wake na hii naweka nadhiri kwa Mungu.

Mimi ni kijana wa kawaida umri 25 years mkazi wa Dar.

Sina ubaguzi wa rangi dini au kabila binti yeyote atakayeguswa na hili ikampendeza karibu tujenge malengo, umri sio kipaumbele changu cha msingi mioyo yetu ipatane.
Miaka 25 tu unaanza kulalamika eti huna mchumba
Hebu tafuta pesa kwanza
 
Una matatizo wewe.. inaonekana hata una superiority complexity.. haiwezekani wanawake wapo wengi hivyo ukose mwanamke mmoja
 
ungekuwa mtu mzima mwenzangu ningekutoa baridi😂😂
 
jipigie PUNYETO wewe......wasichana pasua kichwa.....kwa nyege hizo watakuzingua mno...
 
Back
Top Bottom