Upweke unanitesa sio kawaida jamani

Upweke unanitesa sio kawaida jamani

Ushasema story ilkufanya kua muoga kuingia kwnye mahusiano
Sasa unatafuta binti akutoe upweke ili muingie kwenye biashara au?
kiufupi nina mwonekano wa mtu mwenye pesa mabinti wengi wanakutaga tofauti na kupelekea mahusiano kuwa na kashikash nyingi nimebarikiwa utoaji sana ila sina vingi kama mtazamo wa walio wengi
 
Mkuu tulia sali fanya mambo yako asikudanganye mtu kuwa wanawake wanaondoa stress, unaweza pata mwanamke pasua kichwa akakuongezea hizo stress mara kumi zaidi, tulia mwanamke wa maisha atatokea tu lakini sio kwa kuforce hivi

Wanawake huwa wanaongeza stress zaidi kama utapata mwanamke pasua kichwa tulia
bora itanikeep busy
 
Wanaume wengine mna matatizo Sana , Facebook, Instagram,mitaani kila Kona ya jiji wanawake ni wengi sna inafikia hatua mpaka wengine tunawakimbia alafu bado Kuna wtu kma nyie mnaangaika iv .....utakuwa haujiamini aisee na Hilo Ni tatizo Sana kutokujiamini kwako siku nyingine utakuja kuweka uzi hpa kuwa una upungufu wa nguvu za kiume
 
sijaajiliwa ila nafanya internship ofisi fulani.

mi mtu wa club kias ila mda mwingi nikiwa free nafanya mazoezi na kucheza mpira then kulala.

nimewahi kuwa na mahusiano my last relationship ilikua mwez wa 6 kuna story kubwa iliyosababisha kua muoga kuingia katika mahusiano till now
Ni vizuri ukaweka wazi kilichokusibu hadi kuwa muoga ili upate kusaidiwa zaidi.
 
Jamani mi mpweke sio kawaida sio kawaida sio kawaida namaanisha nateseka sana na upweke.

Sielewi kwanini nashindwa kupata mpenzi wa kuniliwaza.

Si ajitokeze binti yeyote anipende na mimi jamani.

Natajitoa sadaka kwa mwanamke yeyote atakayejitokeza na kunipa moyo wake na hii naweka nadhiri kwa Mungu.

Mimi ni kijana wa kawaida umri 25 years mkazi wa Dar.

Sina ubaguzi wa rangi dini au kabila binti yeyote atakayeguswa na hili ikampendeza karibu tujenge malengo, umri sio kipaumbele changu cha msingi mioyo yetu ipatane.
Hapo kwenye kupata mpenzi wa kukuliwaza ndio stress zilipo sasa. Kama unabisha, ngoja umpate ndio utaelewa
 
Lazima utakuwa unaoga kwakutumia Geisha wewe (utani)........mkuu kuna Kanisani, Msikitini, Classmates,college mates, stiliti kwako, kijijini kwako,workmates,wapangajimates etc.......daah huko Kote umekosa mkuu
 
kiufupi nina mwonekano wa mtu mwenye pesa mabinti wengi wanakutaga tofauti na kupelekea mahusiano kuwa na kashikash nyingi nimebarikiwa utoaji sana ila sina vingi kama mtazamo wa walio wengi
Tabia yako mwanzoni mwa mahusiano ndo kinachokuponza jaribu kwenda nao polepole mkuu
Jaribu kua tofauti na huo muonekano wa kua na pesa lazma utaona mabadiliko
 
Back
Top Bottom