Yani ndo ninachokupendea mpendwa..Uwa haunisahau kwenye matukio muhimu..Ngoja nimtafute nikalikemee hilo pepo la upweke..
Btw ukibadili avatar uwe unatoa taarifa..Nusu niingie maliwatoni
Huna rafiki wa company? Hebu nitafute nikupe kampani...uwe na hela za kula bata lakini.
I mean bills utaclear wewe!
Wewe hobbies zako ni zipi? Tafufa moja ifanyie kazi,pia keep ua self busy
Sitatumia mwanya huu kukupata maana hiyo itakuwa ni tamaa. Ila ninachoweza kufanya ni kwanza kukuoa pole...
Alaf pili.. hata mm nimepigwa kibut juzi tu hapa.. mpaka sasa najihis barid.
Tatu.. take my tuwasiliane
Watch movie as I dokuwatembelea ndugu ,kutazama movie..nk
binti wa kirombo mbona unajirahisisha hivyo.....?Vizuri havitaki haraka..
niko na 23 years oldAge pls.../
Hii ni fursa...!
Ngoja..............!
koamba kurha mao...
naangalia movie..ila bahati mbaya marafiki wamenitenga kipindi hiki..Soma novel itakusaidia kupunguza upweke
wewe utakuwa muongo mbona haujanitafuta kule
upweke miezi mitano,! je,hutongozwagi?
hutongozagi?
tuanzie hapo
Pole sana,nitafute nikupe kampani ya kumrudisha kichawi haahahahaha
Oh dear!Aliyekuambia kula bata ni kujirusha ni nani?kwa bahati mbaya huwa sipendi kujirusha hovyo..mim na starehe ni maji na mafuta ...teh pesa ninazo kiasi

Watch movie as I do
.,,,Oh dear!Aliyekuambia kula bata ni kujirusha ni nani?
Mimi huwa sijirushi mama,clubs and the likes ni sumu kwangu...zaidi nakula battaz u know?
Heheeeee uulizage kwanza mama,bata zipo za aina nyingi.
Kalaghabaho![]()