Upweke unanitesa jamani

Upweke unanitesa jamani

Injinia wa kipare yuleeee.
1477135365071.jpg
 
Sitatumia mwanya huu kukupata maana hiyo itakuwa ni tamaa. Ila ninachoweza kufanya ni kwanza kukuoa pole...
Alaf pili.. hata mm nimepigwa kibut juzi tu hapa.. mpaka sasa najihis barid.
Tatu.. take my tuwasiliane
kwa mpangilio huu wa tenses sidhani kama wallet inasoma
 
Jaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman
Kama upo dar ni-pm, tuangalie namna ya kuitendea haki weekend hii
 
mmm na sikuiz ukiwa na frastrations tu unakuwa kipofu take care
 
Kumbe ndo maana pm yangu imejaa SMS zako,i never know!......Ngoja nichukue hatau sasa hivi!!
 
Mpaka nimekosa appetite ya kula Kwa kuuwaza upweke ulionao. Pole sana.
 
Poleeeeeee ila siku nyingine utumie akili kwanza kabla ya hisia ili kumkubalia mwanamme.
 
Siku hizi,mkiandika Natafuta mchumba......Hamueleweki!
 
Yani ndo ninachokupendea mpendwa..Uwa haunisahau kwenye matukio muhimu..Ngoja nimtafute nikalikemee hilo pepo la upweke..
Btw ukibadili avatar uwe unatoa taarifa..Nusu niingie maliwatoni
Maliwatoni kutafuta nini tena, hebu malizana na binti wa kirombo ulete mrejesho hapa, Maliwatoni muachie mtumishi Illovo make hana dem yule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom