Upweke unanitesa jamani

Upweke unanitesa jamani

binti wa kirombo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Posts
847
Reaction score
965
Jamani ni miezi mitano tangu Injinia wa kipare aone hawezi kupika tena chungu kimoja na mimi, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpaka basi yaani nakaa ndani kama mwali.

Natamani siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampani ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao, jamani upweke, niache upweke khaaa! Nashindwa sijui huu upweke utaisha lini, Ijinia wa kipare kwanini ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi, uwiiii jamani!.
 
Tafuta mwingine kama huwezi kuvumilia maana mlisha zoea kukumbatia
 
Jaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman
Una umri gani?
 
hahaha kuna watu sio wazima jmn.msiendekeze mapenzi yatawaua.
 
binti wa kirombo mbona unajirahisisha hivyo.....?Vizuri havitaki haraka..
 
Jaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman
Sitatumia mwanya huu kukupata maana hiyo itakuwa ni tamaa. Ila ninachoweza kufanya ni kwanza kukuoa pole...
Alaf pili.. hata mm nimepigwa kibut juzi tu hapa.. mpaka sasa najihis barid.
Tatu.. take my tuwasiliane
 
Jaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman
@Eli79,hebu tusaidiane kuwauliza wadogo zako hili swali la mdogo wangu mama Claree...

Kwa nini wamemfanyia hivi jamani, au tuvuke boda na wao waanze kulalamika? Siyo vizuri walivyofanya.
 
Jaman ni miezi mitano tang injinia wa kipare aone hawez kupika na tena chungu kimoja na mim ,,,,, baada ya maumivu na kumsahau sasa nimekuwa mpweke mpka basi yaan nakaa ndani kama mwali nataman siku zote ziwe siku za kazi nikitaka kampan ya marafiki wananiambia wako na mabebi wao jaman upweke, niache upweke khaaa nashindwa sijui huu upweke utaisha lini , Ijinia wa kipare kwann ulinifanyia hivi hadi sasa nateseka kuwa mpweke sikuzoea hivi , uwiiii jaman
Kumbe Injinia wa kipare ndo maana pole Single and lonely hii hali ni ngumu kwa sababu utashindwa kufanya maamuzi sahihi hapo ni upweke ndo unakudrive kwahiyo ukiona mwanaume yoyote kavaa suruali utaona anakufaa kumbe be single but not alone kuwa mtulivu mahusiano huwa yanakuja tu naturally tena utasahau yote machungu kuwa focused na kusaka life things will fall into place binti wa kirombo
 
Wewe hobbies zako ni zipi? Tafufa moja ifanyie kazi,pia keep ua self busy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom