KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,752
- 86,393
wa miaka mingapi..?Mh na uzee uhuu
wa miaka mingapi..?Mh na uzee uhuu
Njoo kwangu mpweke mwenzakoHEllow
Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
bado mtoto mchanga wewe!
Kikongwe mimi
Kila la kheri mkuu, nakuombea upate wawekezaji watakaomudu kuutoa vyema upweke wa kibubu chako.Ohhh
uko wapi kwanzaSure?
Njoo kwanguHEllow
Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
Imeisha iyo😀Mshana again.... Connect me mkuu na huyu mwali basi..
Waliosoma cuba hapa watagawa kwa 2 kupata umri wako sahihi.
Nimeona Kuna mrembo yu mpweke anahitaji kumbato
Mh hapana siwezi
usikae na kujifungia chumbani kwako mwenyewe kwa muda mrefu, njoo au nenda kajumuike na wengine pahali wako na mtapatana huko na wapweke wengine, na hilo tatizo la upweke litakua limepona kabisa kwasababu jawabu litakua limepatikanaHEllow
Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
Utapata tulizo la akili na moyo hapa kwa mzabzabNakujaa