Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,360
- 176,174
Usiniache bhana upweke utaniua
Naanzia wapi kwanza kukuacha!! Nikifika mlangoni narudi
Usiniache bhana upweke utaniua
Naanzia wapi kwanza kukuacha!! Nikifika mlangoni narudi
Ila kuchepuka huachi
Hahahaaaa mie sichepuki bwana hebu acha kunicngizia, hivi hili baridi hulioni? Hebu jiongeze bwana
Naona Leo hali si shwari ngoja nije niokoe jahazi
Never fall in love with a dreamer
ila ucsahau kujiunga na CHAPUTA
Tangu nilivoachana na mpenzi wangu wa zamani mwaka jana, nimekua bored all the time na nimegundua kua upweke sio kabisa let engage in other relation and God be front.
Tangu nilivoachana na mpenzi wangu wa zamani mwaka jana, nimekua bored all the time na nimegundua kua upweke sio kabisa let engage in other relation and God be front.