- Thread starter
- #61
SahauAkipata mwanaume humu.Alete mrejesho.
Wanawake tafuteni hela zenu.
Aseme atanafuta ajira ieleweke. Na siyo upwekee umemchosha
Na akiliwa kimasihara,Uzi wa rikiboy uko wazi asisahau kutuwekea comment sisi wasomaji![]()

...Sahau
Look no further. The man you’re looking for is finally here. Grab this opportunity now!!! Note: terms and conditions apply. This advertisement has been vetted and approved by the Single & Searching Committee.Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend kama tukielewana, tufunge ndoa takatifu Kwa wakati sahihi.
Mume wa mtu haitajiki.
Umri uwe 28 mpaka 30..
Awe na kazi au kitu anachoshughulika nacho kumuingizia kipato.
Asiwe mrefu kupitiliza.
Atoke mkoa wowote tu. Mengine tutaelezana pm.
Kwa aliye serious tu tafadhali.
Ah nilizama pm mweee!! Nilivyomwambia tuu mie bodaboda na maomgezi yaliishia hapo hapo.
Wadada wa jf wanataka wenye degree....sie makapuku tunaonekana takataka tuu. Vipi wee upo single?

sasa bodaboda mna ubayagani dada hayuko seriousWanasema sie tunabangaiza tuu maisha. Wao wanataka wenye dgree na magarisasa bodaboda mna ubayagani dada hayuko serious
Hayuko serious 😄tusubiri akitaka anaepumua tuWanasema sie tunabangaiza tuu maisha. Wao wanataka wenye dgree na magari
🤣🤣🤣🤣🤣Ataishia kuliwa kimasikhara tuuHayuko serious 😄tusubiri akitaka anaepumua tu
ulifanikiwa?Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend kama tukielewana, tufunge ndoa takatifu Kwa wakati sahihi.
Mume wa mtu haitajiki.
Umri uwe 28 mpaka 30..
Awe na kazi au kitu anachoshughulika nacho kumuingizia kipato.
Asiwe mrefu kupitiliza.
Atoke mkoa wowote tu. Mengine tutaelezana pm.
Kwa aliye serious tu tafadhali.
Umempata kama aujampata niku pm mpenzi wangu mtalajiwaUpweke umenichosha, nahitaji boyfriend kama tukielewana, tufunge ndoa takatifu Kwa wakati sahihi.