Upweke! Chanzo kikubwa cha ushirikina

Upweke! Chanzo kikubwa cha ushirikina

Loneliness, ugonjwa mbaya sana, bahati mbaya sana hata waliopo kwenye ndoa baadhi wana-experience loneliness.

Smartphone inamfanya mtu kujiweka busy, hata na watu ambao hawajui/hawamjui ili tu kujiweka nje ya upweke, lakini in reality loneliness haikwepeki kwa njia hiyo.
Absolutely.....

spend less, save more
 
Ukiuelewa mfumo wangu wa kuweka picha hutakaa uniite muongo

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app

Samahani kwa hilo, ulimpata wapi huyu Maber Lulu kabla ya kupaka uchafu wa kujitakia usoni?
 
Naomba kuuliza. Ikiwa umeenda kwa mganga kutaka kitu na mganga akakupa vitu vya kufanya ili upate unachotaka kisha akakupa na mda wa tukio unalotaka kutokea lakini ikapita huwa mda hakijatokea, je uganga unaendelea kufanya kazi mpaka kitokee ama km hakijatokea katika muda ulopewa ndo uganga umekwisha?

mshana jr
 
Hiyo umefeli ni sawa na mwanamke kubeba mimba kisha iharibike
Kwanini inatokea hivyo?
-Aidha mganga ni muongo/tapeli
-Ama umekosea masharti
-Au yeye ndio kakosea

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo umefeli ni sawa na mwanamke kubeba mimba kisha iharibike
Kwanini inatokea hivyo?
-Aidha mganga ni muongo/tapeli
-Ama umekosea masharti
-Au yeye ndio kakosea

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Na kikika kutokea kitu ulichokitaka siku za mbeleni (yaani hapo mda ushapita ulipewa na mganga, labda tuseme kama one year after) hio itakuwa ni results of nature na sio uganga?

Samahani lakini kwa maswali ya kiusumbufu
 
Sometimes ni coincidence tuu .. Usijali sio usumbufu tunashare maarifa

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
daah mkuu mada zako zinanitishaga mno sana aisee ni ushirikina tu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
huu ndio ushirikina sasa mwalimu wangu lol
Mwanafunzi wangu, humu sasa hivi kumeshaharibika.
Unaweza kujiona mpya mbele ya mtu....kumbe huko aliko ameshika Id yake ya zamani na picha yako anakuchora tu.
Mwisho wa siku unajikuta unakula tapishi lako mwenyewe.
 
daah mkuu mada zako zinanitishaga mno sana aisee ni ushirikina tu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20170712-060935.png

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
witch_crafts.jpg

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hapa msije mkanielewa vibaya kutokana na kichwa cha habari
Nazungumzia ile kaliba ya watu ambao wamejikuta kwenye ulevi fulani kwasababu ya upweke!
Hakuna kitu kibaya kama upweke! Athari zake ni kubwa kuliko unavyodhani

Wewe uko kitandani muda huu na smart phone yenye network bundle na chaji! Usingizi umekata uko mpweke chumbani peke yako! Simu yako hiyo inakuwa ndio kampani yako unaperuzi tu kuchat na dunia na watu usiowajua! Hatimaye upweke unakuondoka!

Lakini vipi yule ambaye hana uwezo wa kumiliki simu yenye uwezo huo? Atatafuta cha kumpa kampani
Lifespan ya kati ya mwanamke na mwanaume ni tofauti! Wanaume hufa mapema kuliko wanawake! Ndio maana kuna wajane wengi kuliko wagane
Sasa hebu pata hii picha, mwanamke mtu mzima mumewe keshafariki watoto hawapo yuko peke yake nyumbani/chumbani....pata picha usiku wake unakuwaje! Mchana atajichanganya na wengine! Usiku je? Trust me asipokuwa mlevi ama mtu wa maombi ataishia kuwa mwanga kama si mchawi! UPWEKE HAUJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA!
Katika umri huo pamoja na uzee lakini naye anatamani kupendwa, lakini atapendwa na nani!? Hivyo hushawishika kuwa mwanga ama mchawi ili atimize haja zake za mwili kiulaiini
Ataanza kwa nia ya kuondoa upweke lakini uchawi hauna tofauti na kula nyama ya mtu ukianza utatamani kuendelea mpaka zako zifike!

Unaweza kujiuliza kwanini siku hizi kuna mabinti na vijana wadogo kabisa ni wachawi ama wanga!? Sababu ni zile zile UPWEKE! hana uwezo wa kumiliki vitu vya kumuondolea upweke, hana uwezo wa kukaa bar ama kutumia madawa hana mpenzi ama mtu wa kumpa faraja! Shetani ana nguvu sana! He is always there...from nowhere utatafuta mbadala wa kukuokoa na upweke ! Wengi wamejiingiza kwenye ushirikina kwa njia hii
Ni mara chache mno kukuta mtu anayemiliki mali hata za kawaida kabisa kuwa mchawi ama mwanga! Huyu ni kwa kuwa tayari ana MBADALA!
Kama isingekuwa JF na mitandao mingine wengi SAA hii wangekuwa kwenye mapaa ya watu wakiwanga[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata watoto wanaosoma shule wasipopewa kazi ya kuwakeep bize darasani huwa ndiyo mwanzo wa kuumizana na kufanya uharibifu mwingi.
Nakubaliana nawe kuwa upweke ni zaidi ya sumu.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom