Upweke! Chanzo kikubwa cha ushirikina

Upweke! Chanzo kikubwa cha ushirikina

Hamna, naona sababu kubwa inayofanya watu wawe wachawi ni umaskini na kukosa mafanikio, sio kila alie na pesa za kichawi alikuwa na tamaa, bali ni umaskini ulimpiga sana, hivyo ikawa hana jinsi Mshana Jr
Sahihi pia

Jr[emoji769]
 
Sahihi pia

Jr[emoji769]
Umasikini ni kitu kibaya mno, kibaya mno! Iandikie mada yake, utaona tutakavyofunguka kama kama ile ya juzi. Kukosa pesa, kukosa kipato, kuwa na kipato duni ni janga kubwa kuliko lolote, ndio maana dunia na hasa Afrika kumekuwa dampo...
 
Ngoja nikusanye dondooo

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom