Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,593
- Thread starter
- #21
Kwanini huyo mkuu?Aisome @nikifa mke wangu asiolewe
Kwanini huyo mkuu?Aisome @nikifa mke wangu asiolewe
Exactly, kila mtu anatakiwa kushinda mechi zake. Mimi shida yangu ni kufika mshindo sasa kama lengo langu limetimia na mwanamke ndie hajafika basi hiyo sio shida yangu. Nikiamua kumsaidia nae afike ninakua nimefanya wema tu, na kumsaidia mtu sio shurti na hata kutomsaidia sio udhaifu.Muache bana. Kila mtu ashinde mechi zake ndicho anajaribu kukisema 😂😂😂
Wamebisha nini???