Upungufu wa kinga za kiroho

mkuu leo umeniacha njia panda.
 
Well articulated...well said...wenye kusoma na waelewe ulichokiandika mshana jr
 
Kimsingi umeelezea kitu ambacho nimekuwa nikihisi kila siku katika Imani yangu.
Kuwa mtu akujishirikisha katika masuala ya kishirikina, sana sana anakaribisha maovu mengi kumfuata na kumuangamiza kiroho na kimwili.
Mimi natoka ukoo wa kichifu, nimeona ndugu zangu wakiangamia na nisiwe na jinsi ya kuwasaidia.
Mmi Imani yangu katika Kristo imenisadia sana, ingawaje sijiiti mlokole wala mtakatifu.
 
Lucifer akiwa mbinguni... Alipotupwa duniani akaitwa shetani[emoji1] [emoji1]
 

Mkuu huu uzi sikubahatika kuuona! Kuna mambo ya msingi humo umeyaekeza vizuri sana na Kifalsafa. Hongera sana!
 
Mkuu huu uzi sikubahatika kuuona! Kuna mambo ya msingi humo umeyaekeza vizuri sana na Kifalsafa. Hongera sana!
Karibu kaka asante sana, siku hizi unaoonekana huku kwa kulenga.. Hope its all fine
 
Kiukweli Mshana jr mi sikuelewagi....Wewe ni mtu wa aina gani? mganga,au muumini tu wa kawaida?...Je kanisani unaenda? au msikitin.??
 
Kiukweli Mshana jr mi sikuelewagi....Wewe ni mtu wa aina gani? mganga,au muumini tu wa kawaida?...Je kanisani unaenda? au msikitin.??
Mimi sio mganga na sijawahi kujifanya mganga nafanya kazi halali kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.. Mimi ni mkristo Mlutheri mwongofu ninayempenda Kristo Yesu... Naenda Kanisani na nisipoenda huwa sijisikiii vizuri... Asante
 
HESABU 23:23

"Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!"
 
Mimi sio mganga na sijawahi kufanya mganga nafanya kazi halali kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.. Mimi ni mkristo Mlutheri mwongofu ninayempenda Kristo Yesu... Naenda Kanisani na nisipoenda huwa sijisikiii vizuri... Asante
Safi....Mi ni miongoni mwa wasomaji wa makala zako,ni nzuri.Na leo kuna kitu umeniongezea,na kimenifaa.Mwanzo nilijua wewe na mzizimkavu ni ndugu.Unamfahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…