Kwanza naomba nikiri Sijaona popote barua ya Msajili kwenda TEC kama tulivyoona wa kwenda KKKT. Hata kama kweli upo lkn najiuliza kwa nn wameruhusu ukavuja kwa kiasi kikubwa hvyo tofauti na huo tunaosikia wa TEC ambao hata Zitto nae kwenye andiko lake ameeleza kwa kusema kuwa Amesikia.
Tukiacha hayo kwa uelewa wangu sijaona popote barua ya kwenda baraza la maaskofu KKKT inapotamkwa kwamba Kanisa la KKKKT Litafutwa sijaona popote. Kinachozungumziwa zaidi ni chombo kinachoitwa "Baraza la Maaskofu wa KKKT" Suala ambalo kwa kweli hata mm nimanza kuliskia miaka ya karibuni.
Kuna masuala ya msingi yameibuliwa kama vile kukosekana ka taarifa za msingi za Mabadiliko ya katiba ya kanisa, taarifa za mikutano, taarifa za ukaguzi na taatifa za mabadiliko ya kimuundo wa Kanisa. Haya yoooote ni matakwa ya Kisheria katika nchi yetu.
Kama kweli hayo yote hayapo maanake kuna tatizo na ukweli ni kwamba haya yaangaliwe pia kwa taasisi zooote za dini na za kijamii ili sasa kama hapo kipindi cha nyuma tulizembea tuanze kuamka na kuhakikisha taratibu zinafuatwa.
The fact kwamba Msajili hatambui kinachoitwa Baraza la maaskofu wa KKKT ni sahihi kama katiba yao haionyeshi uwepo wa chombo hicho ktk taasisi husika. Iwapo walifanya mabadiliko hayo msajili ametoa muda wa siku 10 hayo yawasilishwe sioni saana tatizo liko wapi.
Nawasihi pia viongozi wa dini tufuate taratibu za usajili ili kuepuka migogoro isiyo na tija na serikali. Wapo wanaosema KKKT ipo dunia nzima, si kweli KKKT ni kwa ajili ya Tanzania, na sio tz nzima ndio maana kuna miongoni mwao wanaojiita Kanisa la Kiinjili la.Kilutheri Afrika Mashariki na ukienda Kenya, Ghana na Uganda wana Utaratibu wao.
Tuache Mihemko kwenye masuala ya Msingi Watanzania