Upotoshaji wa wazi kuhusu taarifa ya msajili kwa waraka wa KKKT

kisinja

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
241
295
Kwanza naomba nikiri Sijaona popote barua ya Msajili kwenda TEC kama tulivyoona wa kwenda KKKT. Hata kama kweli upo lkn najiuliza kwa nn wameruhusu ukavuja kwa kiasi kikubwa hvyo tofauti na huo tunaosikia wa TEC ambao hata Zitto nae kwenye andiko lake ameeleza kwa kusema kuwa Amesikia.

Tukiacha hayo kwa uelewa wangu sijaona popote barua ya kwenda baraza la maaskofu KKKT inapotamkwa kwamba Kanisa la KKKKT Litafutwa sijaona popote. Kinachozungumziwa zaidi ni chombo kinachoitwa "Baraza la Maaskofu wa KKKT" Suala ambalo kwa kweli hata mm nimanza kuliskia miaka ya karibuni.

Kuna masuala ya msingi yameibuliwa kama vile kukosekana ka taarifa za msingi za Mabadiliko ya katiba ya kanisa, taarifa za mikutano, taarifa za ukaguzi na taatifa za mabadiliko ya kimuundo wa Kanisa. Haya yoooote ni matakwa ya Kisheria katika nchi yetu.

Kama kweli hayo yote hayapo maanake kuna tatizo na ukweli ni kwamba haya yaangaliwe pia kwa taasisi zooote za dini na za kijamii ili sasa kama hapo kipindi cha nyuma tulizembea tuanze kuamka na kuhakikisha taratibu zinafuatwa.

The fact kwamba Msajili hatambui kinachoitwa Baraza la maaskofu wa KKKT ni sahihi kama katiba yao haionyeshi uwepo wa chombo hicho ktk taasisi husika. Iwapo walifanya mabadiliko hayo msajili ametoa muda wa siku 10 hayo yawasilishwe sioni saana tatizo liko wapi.

Nawasihi pia viongozi wa dini tufuate taratibu za usajili ili kuepuka migogoro isiyo na tija na serikali. Wapo wanaosema KKKT ipo dunia nzima, si kweli KKKT ni kwa ajili ya Tanzania, na sio tz nzima ndio maana kuna miongoni mwao wanaojiita Kanisa la Kiinjili la.Kilutheri Afrika Mashariki na ukienda Kenya, Ghana na Uganda wana Utaratibu wao.

Tuache Mihemko kwenye masuala ya Msingi Watanzania
 
Kwanza naomba nikiri Sijaona popote barua ya Msajili kwenda TEC kama tulivyoona wa kwenda KKKT. Hata kama kweli upo lkn najiuliza kwa nn wameruhusu ukavuja kwa kiasi kikubwa hvyo tofauti na huo tunaosikia wa TEC ambao hata Zitto nae kwenye andiko lake ameeleza kwa kusema kuwa Amesikia.
Tukiacha hayo kwa uelewa wangu sijaona popote barua ya kwenda baraza la maaskofu KKKT inapotamkwa kwamba Kanisa la KKKKT Litafutwa sijaona popote. Kinachozungumziwa zaidi ni chombo kinachoitwa "Baraza la Maaskofu wa KKKT" Suala ambalo kwa kweli hata mm nimanza kuliskia miaka ya karibuni.

Kuna masuala ya msingi yameibuliwa kama vile kukosekana ka taarifa za msingi za Mabadiliko ya katiba ya kanisa, taarifa za mikutano, taarifa za ukaguzi na taatifa za mabadiliko ya kimuundo wa Kanisa. Haya yoooote ni matakwa ya Kisheria katika nchi yetu. Kama kweli hayo yote hayapo maanake kuna tatizo na ukweli ni kwamba haya yaangaliwe pia kwa taasisi zooote za dini na za kijamii ili sasa kama hapo kipindi cha nyuma tulizembea tuanze kuamka na kuhakikisha taratibu zinafuatwa. The fact kwamba Msajili hatambui kinachoitwa Baraza la maaskofu wa KKKT ni sahihi kama katiba yao haionyeshi uwepo wa chombo hicho ktk taasisi husika. Iwapo walifanya mabadiliko hayo msajili ametoa muda wa siku 10 hayo yawasilishwe sioni saana tatizo liko wapi.

Nawasihi pia viongozi wa dini tufuate taratibu za usajili ili kuepuka migogoro isiyo na tija na serikali. Wapo wanaosema KKKT ipo dunia nzima, si kweli KKKT ni kwa ajili ya Tanzania, na sio tz nzima ndio maana kuna miongoni mwao wanaojiita Kanisa la Kiinjili la.Kilutheri Afrika Mashariki na ukienda Kenya...Ghana....Uganda...wana Utaratibu wao.

Naomba mwenye barua iliyotumwa kwenda TEC aiweke hapa.

Hii ndo kazi iliyokuweka mjini?
 
Sio Kanisa.Uhalali wa Baraza la Maaskofu kikatiba. Katiba ya KKKT.

Mlalamikaji ni nani? Maana wenye kanisa lao hawana mgogoro. Inawezekana ni kamati ya muda ambayo haiathiri muundo wa uongozi wa kanisa hivyo hauhitajiki kuingizwa kwenye katiba.

Ingekuwa tatizo kama kungekuwa na mgogoro kati yao. Msajili angeitisha kikao na baraza la wadhamini na sio chombo ambacho hata yeye mwenyewe hakifahamu
 
Hivi Bavicha au UVICCM wakitoa tamko msajili wa vyama analiandikia barua baraza ama anamwandikia barua mkuu wa taasisi?
 
Kwanza naomba nikiri Sijaona popote barua ya Msajili kwenda TEC kama tulivyoona wa kwenda KKKT. Hata kama kweli upo lkn najiuliza kwa nn wameruhusu ukavuja kwa kiasi kikubwa hvyo tofauti na huo tunaosikia wa TEC ambao hata Zitto nae kwenye andiko lake ameeleza kwa kusema kuwa Amesikia.
Tukiacha hayo kwa uelewa wangu sijaona popote barua ya kwenda baraza la maaskofu KKKT inapotamkwa kwamba Kanisa la KKKKT Litafutwa sijaona popote. Kinachozungumziwa zaidi ni chombo kinachoitwa "Baraza la Maaskofu wa KKKT" Suala ambalo kwa kweli hata mm nimanza kuliskia miaka ya karibuni.

Kuna masuala ya msingi yameibuliwa kama vile kukosekana ka taarifa za msingi za Mabadiliko ya katiba ya kanisa, taarifa za mikutano, taarifa za ukaguzi na taatifa za mabadiliko ya kimuundo wa Kanisa. Haya yoooote ni matakwa ya Kisheria katika nchi yetu. Kama kweli hayo yote hayapo maanake kuna tatizo na ukweli ni kwamba haya yaangaliwe pia kwa taasisi zooote za dini na za kijamii ili sasa kama hapo kipindi cha nyuma tulizembea tuanze kuamka na kuhakikisha taratibu zinafuatwa. The fact kwamba Msajili hatambui kinachoitwa Baraza la maaskofu wa KKKT ni sahihi kama katiba yao haionyeshi uwepo wa chombo hicho ktk taasisi husika. Iwapo walifanya mabadiliko hayo msajili ametoa muda wa siku 10 hayo yawasilishwe sioni saana tatizo liko wapi.

Nawasihi pia viongozi wa dini tufuate taratibu za usajili ili kuepuka migogoro isiyo na tija na serikali. Wapo wanaosema KKKT ipo dunia nzima, si kweli KKKT ni kwa ajili ya Tanzania, na sio tz nzima ndio maana kuna miongoni mwao wanaojiita Kanisa la Kiinjili la.Kilutheri Afrika Mashariki na ukienda Kenya...Ghana....Uganda...wana Utaratibu wao.

Naomba mwenye barua iliyotumwa kwenda TEC aiweke hapa.

Tuache Mihemko kwenye masuala ya Msingi Watanzania
Naona umefurahia KKKT kufutwa.
 
Ujinga ungekuwa ni kama furushi la zigo kichwani, ningekushauri ulibwage hata barabarani tu, wewe upite zako!! Lakini unahitaji bidii kuufuta! Ukishindwa hata uufiche kidogo!!
 
Kiini cha barua ya Msajili ni Muundo wa Baraza la Maaskofu au ni Kufuta waraka uliokemea maovu yanayotendeka nchini?
 
Mlalamikaji ni nani? Maana wenye kanisa lao hawana mgogoro. Inawezekana ni kamati ya muda ambayo haiathiri muundo wa uongozi wa kanisa hivyo hauhitajiki kuingizwa kwenye katiba.

Ingekuwa tatizo kama kungekuwa na mgogoro kati yao. Msajili angeitisha kikao na baraza la wadhamini na sio chombo ambacho hata yeye mwenyewe hakifahamu
Hapana mkuu. KKKT ni Taasisi.Katiba yao(1960) ilipitishwa na Msajili wa Vyama vya Hiari1963. Katika katiba hiyo, safu ya uongozi iliyosajiliwa, Baraza la Maaskofu sio miongoni mwayo ( baraza halimo ni batili,halina maamuzi,null and void.

Kiongozi mkuu ( Askofu) ameambiwa apeleke barua ya mabadiliko ya uongozi likiwemo BM( baraza la maaskofu).

Hivyo, kwa kuwa BM sio chombo cha maamuzi ( katiba haikitambui) hakina moral authority, wala legitimacy ya kuisemea KKKT
 
Back
Top Bottom