Upotoshaji: Magufuli alidai kuyamaliza kabisa maovu yote Tanzania

Wazungu walitaka tuipe unnecessary attention and luckily Magufuli never subscribed to this.

Tuna njaa na magonjwa mengi ambayo kimsingi yanaongoza kuua zaidi ya COVID-19, mbona hawakutaka tutoe takwimu?

Magufuli alienda nje ya box, and at the end dunia nzima inaelekea kwenye approach yake with slight improvements.

He handled it the best way.
Sasa Hivi tunatoa au hatutoi?
 
Kesi ya kubambikwa si inakufa kifo cha asili mahakamani?

  • Mbona vifo vinavyosababishwa na malaria, cardiac arrest, Homa ya Ini, n.k. Hamtangazi takwimu zake on daily basis?
  • Mbona takwimu za waathirika wa madawa ya kulevya na vifo vinavyosababishwa kwa ubovu wa huduma hamweki hadharani takwimu zake on daily basis?
  • UVIKO-19 ina umaalum gani?

Both 2015 & 2020 Magufuli ameshinda kwa kura za Kanda ya Ziwa.
Kwa nini police wabambike watu kesi za uongo?

Halafu tofautisha kati ya endemic, epidemic na pandemic diseases mshamba msukuma wewe
 
Uli

Ulichoandika hapa ni uwongo kwa sehemu kubwa. Magufuli hakupambana na rushwa kivyovyote, alikuwa mchoyo aliyependa kula yeye na genge lake tu, hivyo alizuia wa chini kwenye halmashauri etc wasipate chochote wakati yeye na genge lake wakifanya ufisadi mkubwa. Rejea ripoti za cag etc zinavyomuanika

Kuhusu kifo chake hata Mimi Nina shaka Kama kweli tatizo la moyo ndilo lilimuuwa. Possibly kama ulivyosema, inawezekana kweli aliuwawa na mahasimu wake kwa sumu, mionzi hatari au kwa ku- temper na pacemaker yake. Inaweza kuwa pia covid19, who knows.

Kuhusu serikali ya Sasa kuhimiza watu wale kwa urefu wa kamba zao huo ni uwongo wa makusudi.

Umesema pia kanda ya ziwa ndio wazalendo wa kweli, hapo sijui umetumia vigezo vipi? Ukimchukulia magufuli Kama yard stick, yeye mwenyewe alikuwa dikteta, mnafiki, mbaguzi na mwonevu kiwango cha sgr- ndio uzalendo huo?
Mwisho umemtakia mapumziko mema (r.i.p.) its ok. Uwe radhi pia kupokea laana anazoelekezewa na walioumizwa na utawala wake. Watu walinyimwa stahiki zao, watu waliteswa, walitekwa wakapotezwa, waliuliwa, wanasiasa walinyanyaswa/kudhalilishwa etc.

Mimi nimewashuhudia Marais sita wa nchi hii, nadiriki kusema Magufuli ndie kiongozi mbovu kuliko wote kuwahi kuongoza nchi hii. Was very incompetent, a sadist- what a shame to have that kind of a person in our high office.

Muache unafiki wa kumpa sifa ambazo hastahili. Eti our most loved president! Shame on you.

Pasaka njema.
Naungana na wewe, the WORST PRESIDENT EVER to happen in this country
 
Wafanyakazi biashara wa bureau de change walionyanganywa fedha zao Arusha na maeneo mingine, serikali imewahi ku-prove makosa yao? Wamewahi kufikishwa mahakamani? Zile fedha ziliingizwa account ipi?
Nasikia fedha zote zilizoporwa kwenye Bureau de Change za Arusha na Dar es Salaam zilichukuliwa na mwendazake.
 
Kwa nini police wabambike watu kesi za uongo?

Halafu tofautisha kati ya endemic, epidemic na pandemic diseases mshamba msukuma wewe
Case ya uongo ni dhahiri ipo bound kushindwa.

UKIMWI nao mlitoa takwimu?

Au yenyewe haikuwa epidermic, endemic na baadaye pandemic?
 
Na yeye aliuawa na wasiojulikana?
JPM most likely alifariki kwa natural causes. Ukiangalia clips mbalimbali za wakati wa campaign za 2015 na 2020 ni tofauti sana sana. Mwaka 2015 alikuwa na afya njema ana nguvu mpaka push up anapiga jukwaani na alipiga campaign almost nchi nzima. Lakini za 2020 alikuwa mchovu, kila alipoenda alikuwa anawekewa sijui ni AC au feni karibu yake kwenye jukwaa, baadhi ya sehemu nchini hakwenda, hakupiga push up hata moja. In general alikuwa weak
 
Sasa hivi gari la tanesco linadai tushirikiano kwenye kudhibiti wizi wa mafuta ya transfoma..hizi habari tulishasahau na umeme ulikuwa haukatiki mtaani.
Kuna vitu vingine mna exaggerate. Sioni tofauti yoyote ya ukatikaji wa umeme wakati wa utawala wa Magufuli na wa sasa. Matatizo ya umeme nchini hayajawahi kutatuliwa kwa 100% ili tufikie kiwango cha wenzetu ambapo mtu anafikisha miaka 30 hajawahi kuona umeme umekatika hata ku-blink
 
Siku za karibuni kumeibuka upotoshaji wa makusudi, tena uliopangiliwa vizuri wa kuwa Magufuli alidai amemaliza rushwa, wizi na ufisadi nchini.

Hebu tutendeni haki, Magufuli hakuwahi kumaliza rushwa, wizi na ufisadi. Ila katika uongozi wake wa serikali na chama tulishuhudia juhudi za dhati za kupambana na rushwa, ujangili, wizi, ufisadi, madawa ya kulevya na huduma mbovu za umma.

Matokeo yake rushwa, ufisadi, ujangili, wizi, huduma mbovu na ufisadi ulipungua sana wakati wa uongozi wake arguably kuliko uongozi mwingine wowote tulioushuhudia katika kizazi chetu.

Tangu kuuawa kwake; yote hayo yamerudi kwa kasi zaidi na serikali iliyopo hata haijali, ndio kwanza inahimiza watu kula kwa urefu wa kamba zao.

Ninatoa wito wa serikali kupambana kwa dhati na maovu haya yanayokua kwa kasi wakati huu.

Unless otherwise; Kanda ya Ziwa, wazalendo wa kweli wa nchi hii, tunamsubiri kwa hamu come 2025.

Rest in Peace our most loved President.

Kheri ya Pasaka nyote.
Magufuli alikuwa hovyo ya taifa itachukua muda kwa taifa kupona uharibifu aliotuachia.
 
K
Biashara zao zilifungwa kwa kuwa zilikuwa zinaendeshwa kinyume na utaratibu na sheria za nchi. Ilikuwa jukumu lao kwenda mahakamani kama walihisi wameonewa, siyo serikali.
Kama walikiuka sheria na taratibu, je walifikishwa mahakamani?
Zile pesa ziko wapi?
 
JPM alikuwa mwizi sana
Kikwete katusababishia hasara kubwa sana.

Kwenye awamu yake tumepoteza fedha nyingi kupitia Epa, Richmond, Madini , hakika Taifa liliingia hasara kipindi chake.

Hilo halina mjadala. Hakuwa makini vya kutosha kuhakikisha Taifa letu linapata haki yake kupitia Rasilimali zake. Hapo hakwepi.
 
Ile hasara aliyoisema C.A.G Assad ya 1.5 trilioni inazungukia hizo unazosema mara nne, JPM alisababisha kwa mwaka mmoja, Sasa piga miaka sita, trilioni kumi
 
Siku za karibuni kumeibuka upotoshaji wa makusudi, tena uliopangiliwa vizuri wa kuwa Magufuli alidai amemaliza rushwa, wizi na ufisadi nchini.

Hebu tutendeni haki, Magufuli hakuwahi kumaliza rushwa, wizi na ufisadi. Ila katika uongozi wake wa serikali na chama tulishuhudia juhudi za dhati za kupambana na rushwa, ujangili, wizi, ufisadi, madawa ya kulevya na huduma mbovu za umma.

Matokeo yake rushwa, ufisadi, ujangili, wizi, huduma mbovu na ufisadi ulipungua sana wakati wa uongozi wake arguably kuliko uongozi mwingine wowote tulioushuhudia katika kizazi chetu.

Tangu kuuawa kwake; yote hayo yamerudi kwa kasi zaidi na serikali iliyopo hata haijali, ndio kwanza inahimiza watu kula kwa urefu wa kamba zao.

Ninatoa wito wa serikali kupambana kwa dhati na maovu haya yanayokua kwa kasi wakati huu.

Unless otherwise; Kanda ya Ziwa, wazalendo wa kweli wa nchi hii, tunamsubiri kwa hamu come 2025.

Rest in Peace our most loved President.

Kheri ya Pasaka nyote.
Aliuwawa na nani pamoja na ulinzi wake wote ule ambao hata Biden hana?
 
Back
Top Bottom