Upole!!


kwa kweli hata mimi sitaki awe mpole wa hivyo....nataka wakati wa valangati ni valangati kweli na wakati wa kula kuku basi kwa raha zetu.....akiwa mpole sana nitajikuta nimempa kibao halafu iwe shida
 
Lizzy,

Mungu akubariki sana na akupe nafasi ya kufanya practicals..

Haya mambo ni biashara kichaa...Unapodhani utapata faida kumbe ndo unajipeleka kwenye kuua mtaji. Tumshukuru tu Mungu kwamba wengine tunakabiliana na hali na kusonga mbele. Naomba Lizzy na wenzake wanaosubiri kuanza hii ngwe wajiandae kwa mambo kibao yanayo na yasiyotarajiwa (predictable and unpredictable things)!!!!!!

Mzee DC
 
<br />
<br />
Sawa tu bana umeamua kunichana live
 
kwa kweli hata mimi sitaki awe mpole wa hivyo....nataka wakati wa valangati ni valangati kweli na wakati wa kula kuku basi kwa raha zetu.....akiwa mpole sana nitajikuta nimempa kibao halafu iwe shida

Duuh
Yaani wanawake wote naona wanapenda midume migomvi. Anyway pamoja na mizaha yote ninayofanya, naangalia kwa makin sana nini hasa wanawake wanakitazama kwetu. Naona hamna tofauti na wanaume.

Hata sisi hatu-prefer wadada wapole kwa kila kitu. Stress sometimes zinajenga mahusiano.
Niliwahi kuambiwa na mfanyakazi mwenzangu kwamba, wakati wa kufahamiana na mwanamke yapaswa uwe umewahi kumkasirisha, ikiwezekana hata kwa makusudi. Lengo ni kupima ustahimilivu wake ktk kujenga uhusiano imara. Akanisisitiza sana kwamba niogope sana kujifunga kwa mtu ambaye sijajua hasira zake zilivyo
 
Reactions: EMT
Mzee DC unatoa tahadhari badala ya ushauri na mawaidha??
 

100% True and Practical

Big up Bishanga Bashaija na ti bakazi!!!
 
Haya endelea.....

Lizzy, kuna kitu nataka nikuambie
Na nitakuwa very very serious.
Yaani nitamaanisha kweli, na haitakuwa mzaha
Ni kuhusu me and u
 

Post yako inaleta issue ya tofauti kati ya rigorous honesty and brutal honesty. Kwa mfano jibu yako "Honey hio lipstick looks good but I always find your lips sexy the way you always do them..." is rigorous honesty. Compare with this answer: "Honey, yes those pants make your a** look big, or maybe it's just because you have a big fat a**." That is brutal honesty. Ninachojaribu kusema ni kwamba kuna baadhi ya wanawake wanapendelea zaidi rigorous honesty wakati baadhi ya wanaume wanapendelea brutal honesty.

Lakini pia kuna issue ya kuwa mkweli. Wapo wanaosema honest is honest and the truth is the truth. Kuwa mkweli inaweza kuwa brutal vilevile or loving kutegemeana na attitude ya mtu anayeambiwa. Wapo wanawake wanaopenda kuujua ukweli in gentle way. Wengine just like men to spit the truth out. Na hii inaconfuse sana wanaume b'se some women get mad at them either way.

Kuna work colleague huwa anapenda kuwatania wanawake ofisini kuwa women beg for the truth but cannot handle it. If you think you can handle it then, every morning when you come to work pop at my desk and ask me how you look. I will give you the truth. Hakuna hata mmoja aliyewahi kwenda kwenda kwenye dawati lake kuuliza hilo swali japokuwa dressing code ili-improve.

Lakini sidhani kama hili linapply kwa wanawake tuu. Wote tunaishi kwenye society ambayo wanawake kwa wanaume hawapendi kuujua ukweli. Tunaogopa kukumbana na reality iliyo mbele yetu. Watu tunaogopa kujua tusichokijua. Tunaogopa kudeal na issues zinazotukabili kwa kuzi-avoid. Tunaona ni rahisi kuzi-avoid badala ya kudeal nazo. Ni pale tuu tukakapojifunza how to let in the truth, which is accepting it and dealing with it that we will be one step closer to being in touch with our inner being.

Kwa hiyo Asha D, at the end of the day kinacho-matter is not the way you responded to the question but whether or not your response was intended to help the recipient. Ninaweza kukujibu "Honey hiyo lipstick looks good but I always find your lips sexy the way you always do them...", but did I really intended to help you or I was just avoiding to hurt you? Or you may say "Oh, baby, I love it when you (fill in your own blank) can you do that again in that way, etc?". You may have said that to avoid hurting me, but did you really intended to help me? Do you think these responses will help us to be one step closer to being in touch with our inner beings?
 
Lizzy, kuna kitu nataka nikuambie
Na nitakuwa very very serious.
Yaani nitamaanisha kweli, na haitakuwa mzaha
Ni kuhusu me and u
Listening..,,,
 
Mzee DC unatoa tahadhari badala ya ushauri na mawaidha??

Lizzy,

Sikutaka kuharibu post ya ndugu yangu Bishanga Bashaija (Maswahibu huwakuta wanaume wa kweli).....Ukisoma vizuri post yake utaona nilichotaka kusema.

Tatizo ni kwamba binadamu ni kiumbe wa hovyo sana. Akila chips kuku kila siku atalaani tu...wakati huo anayekula kauzu kila siku anajiandaa kuasi. Na umri wangu huu hata sijui ni kitu gani ukimtendea binadamu kitaonekana kizuri..

Mimi najitahidi kuwa mimi...Labda bibi siku moja ataweza kuja kueleza mimi ni mtu wa namna gani! Vinginevyo nabaki kinywa wazi mdogo wangu.. Hata hivyo ukikua utayaona, kuyashuhudia na mwishowe utakuwa kungwi wa uhakika!!

Mzee DC
 
<br />
<br />
Shem hebu tuheshimiane nyumbani kwangu unapaita Guest House. Omba msamaha kabla sijaanza ukorofi wangu

Ukorofi hawafanyagi kwa mashemeji, unafanya kwa mumeo Kajuna tu. Kwa mashemeji unatakiwa uwe na aibu, akikuangalia unageuzia macho pembeni, akikushika bega unajilegeza, akikupa ishara unamjibu kwenye msg, mpaka unamzoea . . . .
 
Kwahiyo bora umsifie wewe alafu huko nje awe kichekesho???Mi bora niambiwe ukweli ili nirekebishe!

Unaweza kumsifia still akawa kichekesho huko nje. Why spend one hour in front of the mirror still unataka nicomment appearance ya lips zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…