Upole wa Serikali yetu, Lowasa, Sumaye wapeta!

Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Kwani katiba/sheria zinaaemaje juu hao mawaziri wakuu wastaafu?

Usije ukawa umekurupuka isingizini
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Unataka kutengeneza mazingira gani?

Wakishaondolewa ulinzi halafu..........!??
 
Kwa hiyo Sumaye na Lowasa ni Mawaziri wakuu.?

Kuna mahali nimesema ni mawaziri wakuu??Unajua stahiki zao au kwa sababu una baundle na vidole basi you can type anything even upupu
 
Mkuu jua hiyo sio favour ni haki yao kikatiba akitaka abadikishe katiba. Ila muosha huoshwa
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Naona hata yule aliyeuza nyumba za serikali anapeta tu. Hakuishia hapo, kanunua ferry ya sh8 billion iliyokufa Kabla y'all kuanza laziness, Lakini anapeta tu
28be620d8aaca5815015f0068001c33c.jpg
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Acha mawazo ya kipuuzi, hivi unawajua wakenya wewe au? Polisi waliwahi kujaribu kufanya figisu za kitoto kwa Gavana Joho tu wakaminywa na ulinzi ukarudishwa.Kenya hakuna mhimili "uliojichimbia chini".Unafikiri Kenya ni kama Tanzania ambapo CJ anakuwa msemaji wa jeshi la polisi au wizara ya ulinzi?
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Wanalindwa na Magufuli au wanalindwa na sheria? Kwa maneno ya Rais alipozuru Zanzibar, isingekuwa matakwa ya kisheria basi Maalim Seif, Lowasa na Sumaye wasingepata stahiki zao.

Vv
 
Back
Top Bottom