Upole wa Serikali yetu, Lowasa, Sumaye wapeta!

Tatizo ccm kuweka watu wa propaganda ambao hawajui kazi yao. Kwa taarifa mtu yeyote kenya akigombea urais analindwa na serikali.
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Pelekeni kesho mswaada bungeni kwa hati ya dharura muziondoe hizo stahiki zao kama mawaziri wakuu wastaafu. Maana sasa hivi kila kitu ni dharura
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Hawapewi ulinzi Kwa hisani za rais bari sheria, akiwaondolea ulinzi bila kubadili taratibu za sasa atakuwa anavunja sheria kwa mara nyingine tena kama alivyo vunja hapo awali!
 
Udicteta wa mbowe unaishia ufipa ofisni
Rais wa Kenya haogopi katiba mpya inayowapa uhuru Wakenya kutoa maoni yao bila kuwekewa vikwazo. Hilo moja, la pili ni kwamba mwisho wa udikteta uchwara ni Namanga!
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, .
LOWASA NA SUMAYE wote ni wezi tu wa CCM..Wameiba sana nchi hii wakiwa wana uangalizi wa CCM..CCM ni chama Cha MAJIZI Duniani
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Unamzidi hata shetani kwa huo uongo, jamaa bado analindwa kikamilifu. inaonekana hata kuweka bandiko hili UMESUKUMIZIWA TU.
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Hizo ni stahili zao kwa mujibu wa sheria,sio utashi wa mtu.
 
LOWASA NA SUMAYE wote ni wezi tu wa CCM..Wameiba sana nchi hii wakiwa wana uangalizi wa CCM..CCM ni chama Cha MAJIZI Duniani
Na kimbilio la majizi imekua chadema
Nchii kwakweli wote wameenda jifichia huko na bado tutegemee wengine wataiba kisha watakimbilia huko
 
Ukiokoka unakaribishwa kwa watakatifu CHADEMA...Hata Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi...CHADEMA ni chama cha wasafi...Ukiwa na dhambi njoo Mungu atakuhurumia
Ila CCM Chama cha Mashetani
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...

Ungeuliza kwanini Mahakama na Bunge letu ni kama NEC ya CCM maana Kenya wako huru.
 
Na kimbilio la majizi imekua chadema
Nchii kwakweli wote wameenda jifichia huko na bado tutegemee wengine wataiba kisha watakimbilia huko
Yaani serikali ya CCM inajua majizi yalipo lakini haichukui hatua, inaogopa nini? Ungejua jinsi kwa kauli hii ya kijinga unavyoidhalilisha serikali yako iliyopo madarakani, ungenyamaza kimya...au ni kwa vile chama chenyewe ni cha majizi!
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Unatakiwa kuelewa tu kuwa hiyo sio PRIVILEGE inayoweza kutolewa kwa John kuamua. Ni STAHIKI.
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...

Hizi porojo kawaambie CCM, sisi hazituhusu.
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
umuondolee ulinzi ili umfanyie nini?
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...
Kwani sumaye na lowasa ndiyo wanayemwita Magu dikteta? Em jiongeze basi... Naona mnataka kuwanyang'anya ulinzi Kama kule Kenya so?
 
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na Serikali yetu inayoongozwa na Raisi wetu ambaye akiamua wananyang'anywa mara moja, wewe Sumaye tema mate chini, kwanza mtu mwenyewe Fisadi halafu unaleta kibesi, ...

Ndio maana kila siku anawaita WAPUMBAVU.
 
Back
Top Bottom