Upole unawagharimu wanaume wengi

Upole unawagharimu wanaume wengi

Huyo rafiki yako naye ni pimbi tu inamaana yeye hajachanganya na za kwake?

Halafu ni mtu mkubwa kanisani wakati huohuo ni mdogo nyumbani kwake.
 
Tatizo wewe hujui nini maana ya ndoa ndio maana umemshawishi mwenzio na kumtafutia mwanamke mwingine. Wewe sio rafiki wa manufaa kwake bali ni rafiki maslai. Wewe ungekuwa rafiki yangu ukanipa ushauri wa kipuuzi kama huo nadhani huo ndio utakuwa mwisho wa urafiki yetu. Hivi mke wake akigundua wewe utamsaidiaje, hivi wewe unaishi nao ndani au una lala nao kitandani kujua hasa ya moyoni mwao? Nyinyi ndio mnaokatisha tamaa ya watu wanaotaka kuingia kwenye ndoa kwa kutoa mitazamo hasi

jamaa ni rafiki yake ,tena wamesoma wote kwa hiyo anamjua vizuri, mi nafikiri ungelaumu chanzo cha tatizo(mke)
 
Duhhhh yaani ndio umempoteza rafiki yako , huo mchepuko nao ukianza wenge basi jamaa ata dead fasta
 
mwanamke kupata mimba kabla ya ndoa ni kiherehere chake.

Kwa sababu sisi hatuna nyege au hatusimamishi au akili za juu haziamii chini kama wewe unaweza kutokewa na yote hayo pia sisi tunaweza ukiona hivyo tumia condom au mwaga nje au acha kabisa kutugusa gusa
 
Naona tunachanganya upole na ujinga ukumbuke kuwa hivi vitu viwili vinatofautiana, huyo ni mjinga sio mpole. Inaonyesha rafiki yako akili yake ni ya kushikilia hivi utakubalije kutafutiwa mchepuko kama dawa ya ndoa yako. Huyu ndugu ana tatizo zaidi ya linaloonekana na kwa mtindo huu anadhalilisha wanaume wenzake. halafu sifa uliyompa ya ucha Mungu sidhani kama unaelewa maana yake jaribu kutofutisha mbwa mwitu mwenye ngozi ya kondoo na kondoo.
 
Huyo rafiki yako naye ni pimbi tu inamaana yeye hajachanganya na za kwake?

Halafu ni mtu mkubwa kanisani wakati huohuo ni mdogo nyumbani kwake.
Huyo ni mbwege hana cha ucha Mungu wala nini. Tena apangiwe na siku za kupika kabisa huyo hafai kabisa limtu gani halijitambui
 
Naamini kabisa wataalamu wakikipima kwa makini kichwa cha mtoa mada lazima atakuwa na mushkeli kwenye Oblangata ya nyuma...maana baada ya kumaliza tatizo la mwenzio ndio kwanza anamuongezea tatizo.....na huyo mshauriwa inawezekana akawa hana ubongo kabisa kwenye fuvu lake bali ana makamasi kichwani.......
 
kwa hiyo umerogwa hadi akili umeshikwa kwa mchepuko wako ??

Naomba uniache..nahasira sana mpaka kuja kutoka nishaliwa double salary zangu sina hamu..!!1
Tena unikome usiniulize tena maswali hayo ya kipolisi
 
Wenye akili ni wale
maowapandia vichwani
:embarrassed1:

wapo wenye akili wanaojitambua na wala hakuna anayewapandia kichwani shida ukipewa akili za mbwa huwezi ona kama kuna wenye akili
 
Kwa sababu sisi hatuna nyege au hatusimamishi au akili za juu haziamii chini kama wewe unaweza kutokewa na yote hayo pia sisi tunaweza ukiona hivyo tumia condom au mwaga nje au acha kabisa kutugusa gusa

sasa nisipokugusa nani ataipandisha akili kichwan iliyoshuka chini?

Hapo kwenye kondom hapo nyinyi wenyew mnakuwa wa kwanza kuzikataa mnasema znaleta kansa au hazina utam

hapo kwenye kumwaga nje mkiona njemba inaongeza kas mnaikumbatia kwa nguvu ili ikukojolee ndan.

Kwann ww uniletee papuchi wakat unajua upo siku za hatari?

Tatzo lenu ile kitu ikaanza kutoa lubricant na kuwa chapachapa hamkumbuki tena tahadhar unaing'ang'ania iingie tu.
 
We hujui siku ya hatari ndiyo utamu unakuwa mwingi embu msitunyase hata sisi tuna genye loh
 
wapo wenye akili wanaojitambua na wala hakuna anayewapandia kichwani shida ukipewa akili za mbwa huwezi ona kama kuna wenye akili
imeandikwa
''mwanamke mchawi usimwache aishi.''
kwa kauli tu inatosha....hutakaa unielewe
 
Back
Top Bottom