Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Huu ushauri wako sio kabisa, ila jamaa naye atakuwa hana msimamo.
Nimemhurumia sana jamaa yangu.Ni jamaa ambaye tumekua naye, tumesoma naye ni mpole sana na mcha Mungu sana. Kanisani kwao ni mtu mkubwa tu sijui anacheo gani, lakini ni mtu mkubwa tu.
Huyu mshikaji alioa mwaka jana mwanamke mrembo sana lakini alionekana kama mtukutumtukutu. Mshikaji kamuombea mpaka mwanamke kawa mtu mzuri tu na kanisani naye kapewa cheo fulani hivi ni Kanisa kubwa tu hapa Dar es salam.
Sasa mwanamke amekuwa akitumia sana upole wa mwanaume kumdrive kama anavyopenda. Anaweza kumnunia tu hata wiki nzima, huku mshikaji anachanginyikiwa sana na kukonda mno, hapendi kabisa wagombane na mke wake.Yaani jamaa anavyopelekwa mpaka unamuonea huruma.
Jana nimemwambia dawa ya hawa wanawake watafutie papi, akileta nyoro kale maini. Mbona atanyooka mwenyewe tu bila hata kuchapwa.Hapa mshikaji nimemtafutia msichana na vile mshikaji anapesa demu kakubali, na huyu msichana ni wa ushwahilini mshikaji atakipata cha moto mpaka atasahau mateso.
Wanaume wapole msifikiri ni sifa ni uzombi.
Yaaani unafundisha kuwa na nyumba ndogo ndio upole unaisha vipi ? na huyo akianza mapepe ina maana jamaa atakawa na nyumba ndogo ngapi sasa.
ila ndio ukweli sasaDawa ya mwanamke jeuri ni kumuolea mwanamke mwingine na dawa ya mwanaume bahili ni kumtafutia mwenye pesa zaidi yake. hahaa hahhaa!!!!!
sio maneno yangu mie.
Shehee usiweke mayai kapu moja.
Hawa viumbe ni wakuwavuruga tu
Tunawaheshimu sababu ya kuzaa only
Ila ni zaidi ya mbwa hawa.
mie ni zaidi ya mbwambwa mwenyewe wewe
Talaka ya mchepuko ni makofi
Shehee usiweke mayai kapu moja.
Hawa viumbe ni wakuwavuruga tu
Tunawaheshimu sababu ya kuzaa only
Ila ni zaidi ya mbwa hawa.
mie ni zaidi ya mbwa
Mshushie tu hilo kombora
Shehee usiweke mayai kapu moja.
Hawa viumbe ni wakuwavuruga tu
Tunawaheshimu sababu ya kuzaa only
Ila ni zaidi ya mbwa hawa.
Naaum hasa ya kutupa vichanga,Nyie ndiyo zaidi ya mbwa sisi tunaroho nzuri
siku nyinginengoja nimwachie kiporo nitampa kombora siku ingine
wewe unaendeleaje bestito?
Wenye akili ni waleOa mbwa maana ndio unafananae kiakili mpk kimwili acha wanaume wenye akili zao wadili na wanawake binadamu