Upo wapi Anneth Benidicta?

Haha watu wanafunguka mmoja baada ya mwingine..

Aisee itabidi na mimi nianzishe mada niitafute mamsi yangu ya shule ya msingi πŸ˜‚
 
imeniumq sana, mana huyu Aneth ndio mkewangu sasa.
 
Nenda pale kota mcheki anti mwambie aseme aneth alipo
 
Anaitwa Anastasia Benidicta Ila alikuwa anapenda nimuite Aneth, Nimemkumbuka Sana Mpenzi wangu.

Popote Ulipo Aneth, nakuomba ujitokeze, najua umeolewa lakini nataka nikuone tuu roho yangu itulie
Maisha yamekupiga kwa kukosa pesa na maradhi unamtakia nini? Pambana na hali yako kaolewa yuko kinondoni Dar es salaam

Mumewe mwanajeshi kikosi cha anga
 
Maisha yamekupiga kwa kukosa pesa na maradhi unamtakia nini? Pambana na hali yako kaolewa yuko kinondoni Dar es salaam

Mumewe mwanajeshi kikosi cha anga
Hivi wewe hunaga jema?
Una msongo wa mawazo?
Halafu wewe mlokole gani?
 
Nami nimemkumbuka X wangu Rosemary mtoto wa Kichagga mweupee uliyekuwa unaishi pale Buza Kanisani,nimekukumbuka kama upo nyoosha kidole nikuone roho yangu iridhike
 
Yna2 popote ulipo ., hata kama umeolewa nikikuona nafasi yangu itasuuzika , nakumbuka mara ya mwisho tulikutana....... πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Vijana wa leo ni shida.
Unakumbukaje masufuria ya nyama ya "utumwani" Misri!!???
Huku ni kuchawiana kama alivyoandika ndugu Matola .
 
Anaitwa Anastasia Benidicta Ila alikuwa anapenda nimuite Aneth, Nimemkumbuka Sana Mpenzi wangu.

Popote Ulipo Aneth, nakuomba ujitokeze, najua umeolewa lakini nataka nikuone tuu roho yangu itulie
Akijichanganya tu, ndoa yake kwishaaa
 
Aise Anastazia ameolewa na Boss mmoja mtu mzito sana maeneo ya Shant Town. Juzi nilikutana nae Dar Street pale alikuja kukagua Lodge yao.. Msahau tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…