Qunax
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 100
- 127
Unaweza fikiria kupambana sana na Simba ukihisi ndie mpinzani wako mkuu msituni na kusahahu kumbe tayari wanyama wote wanakuchukia msituni ila wanaogopa kukuvamia kwa kuwa washakuona na bunduki mkononi.
Lakini iko siku moja itaisha risasi.
#Na unaweza ukawa na uwezo wa kuteketeza msitu kwa sekunde kumi ila ukaamua tu kuwa rafiki wa wanyama wote msituni.
Fact: tunakoelekea [HASHTAG]#Kuna[/HASHTAG] upinzani mpka nje ya vyama vya upinzani.