Upinzani washinda uchaguzi Canada

Upinzani washinda uchaguzi Canada

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,681
Reaction score
591
Wakuu siku zinayoyoma!

Mwenye nafasi aangalie mataokeo ya uchaguzi wa Canada uliofanyika jana na baada masaa machache mshindi alisha famika. Mshindi ni mtoto wa Marehemu Truede aliyewahi kuwa kiongozi wa nchi hiyo!

My take:
Tume huru ni ufunguoa ma usalama na utulivu wa nchi. Na hii inachangia hata ktk maendeleo ya nchi.

===================================

151020082012_justin_trudeau_512x288_afp.jpg

Trudeau ni mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo marehemu Pierre Trudeau
Chama cha upinzani nchini Canada cha Liberal kimeshinda uchaguzi mkuu na kufikisha kikomo uongozi wa karibu mwongo mmoja wa chama cha Conservative.

Chama hicho kinachoegemea siasa za mrengo wa kati, chini ya uongozi wa Justin Trudeau, kilianza kampeni kikishikilia nafasi ya tatu kwa mujibu wa kura za maoni lakini sasa kimeongoza kwa kura.Bw Trudeau, 43, ambaye ni mwana wa aliyekuwa waziri mkuu Pierre Trudeau, amesema raia wa Canada walipigia kura mabadiliko halisi.Waziri Mkuu Stephen Harper wa chama cha Conservative amekubali kushindwa na kusema atang'atuka.

Kampeni za uchaguzi mwaka huu zilikuwa ndefu zaidi na wengi walidhani kungekuwa na ushindani mkubwa.Lakini baada ya vituo vya kura kufungwa, Bw Harper alisema alikuwa tayari amempongeza Trudeau, akisema chama cha Conservative kinakubali matokeo "bila kusita".

Akihutubia wafuasi wa chama hicho wenye furaha baada ya ushindi, Bw Trudeau alisema Canada ilituma ujumbe wazi kwamba ni wakati wa mabadiliko."Tuliushinda woga kwa matumaini, tulishinda ukosefu wa Imani kwa bidii. Muhimu zaidi tulishinda wazo kwamba raia wa Canada wanafaa kuridhika na machache waliyo nayo," alisema.Ni wachache sana waliotarajia chama cha Liberal kushinda kwa viti vingi.

Lakini matokeo ya awali yanaonyesha watapata viti 184 vya ubunge, ikilinganishwa na viti 36 pekee walivyoshinda mwaka 2011.
151020042128_canada_election_512x288__nocredit.jpg

Chama cha LIberal kimeahidi kutekeleza mabadiliko halisi
Chama hicho ndicho cha kwanza Canada kutoka nambari tatu na kushinda uchaguzi.Chama cha mrengo wa kushoto cha New Democratic Party (NDP) kinatarajiwa kushinda viti 44, chini ya nusu ya viti kilivyokuwa navyo bunge linaloondoka."Nilimpongeza Bw Trudeau kwa mafanikio haya makubwa," amesema kiongozi wa NDP Tom Mulcair.

Chanzo: BBC
 
Liberal kimeshinda uchaguzi mkuu na kufikisha kikomo uongozi wa karibu mwongo mmoja wa chama cha Conservative.
Chama hicho kinachoegemea siasa za mrengo wa kati, chini ya uongozi wa Justin Trudeau, kilianza kampeni kikishikilia nafasi ya tatu kwa mujibu wa kura za maoni lakini sasa kimeongoza kwa kura.

Bw Trudeau, 43, ambaye ni mwana wa aliyekuwa waziri mkuu Pierre Trudeau, amesema raia wa Canada walipigia kura mabadiliko halisi.
Waziri Mkuu Stephen Harper wa chama cha Conservative amekubali kushindwa na kusema atang'atuka.

Kampeni za uchaguzi mwaka huu zilikuwa ndefu zaidi na wengi walidhani kungekuwa na ushindani mkubwa.
Lakini baada ya vituo vya kura kufungwa, Bw Harper alisema alikuwa tayari amempongeza Trudeau, akisema chama cha Conservative kinakubali matokeo "bila kusita".

Akihutubia wafuasi wa chama hicho wenye furaha baada ya ushindi, Bw Trudeau alisema Canada ilituma ujumbe wazi kwamba ni wakati wa mabadiliko.
"Tuliushinda woga kwa matumaini, tulishinda ukosefu wa Imani kwa bidii. Muhimu zaidi tulishinda wazo kwamba raia wa Canada wanafaa kuridhika na machache waliyo nayo," alisema.

Ni wachache sana waliotarajia chama cha Liberal kushinda kwa viti vingi. Lakini matokeo ya awali yanaonyesha watapata viti 184 vya ubunge, ikilinganishwa na viti 36 pekee walivyoshinda mwaka 2011.

Chama cha LIberal kimeahidi kutekeleza mabadiliko halisi
Chama hicho ndicho cha kwanza Canada kutoka nambari tatu na kushinda uchaguzi.
Chama cha mrengo wa kushoto cha New Democratic Party (NDP) kinatarajiwa kushinda viti 44, chini ya nusu ya viti kilivyokuwa navyo bunge linaloondoka.

"Nilimpongeza Bw Trudeau kwa mafanikio haya makubwa," amesema kiongozi wa NDP Tom Mulcair.
151020082012_justin_trudeau_512x288_afp.jpg
 
Nami nimeisoma hiyo. Mabadiliko kila mahali. Go UKAWA Mola tusaidie.
 
nchi za magharibi hakuna upinzani wala utawala wote ni kitu kimoja,they just put on the election show and their citizens have no clue what time it is about politics,they are totally sedated
 
Mgombea uraisi wa ripablican wa marekani alisema vyama vyote vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi hivi karibuni na mwakani vitashinda aliwataja wagombea hao wa upinzani na lowasa pia alimtaja hata huyo wa canada alimtaja huku akisema hata ripablican itashinda uchaguzi ujao
 
Tawala yashinda uchaguzi guinea

umefuatialia vizuri?. ni uchaguzi wa pili tangu walivyopata uhuru kutoka France 1958. imagine uchaguzi wa pili chama tawala kushinda kwa 57%. hapa Tanzania ni uchaguzi wa 5, predict what will hapen!!
 
ni kweli namimi pia nimeiona,tatizo tulilo nalo hizi nchi zetu masikini ni kutokuwa na tume huru,hii inaleta wasiwasi mkubwa kila kona,lakini safari hii mungu ametusimamia na ameweza Zima njama potofu zote za adui,tuendelee kuomba jamani ili basi siku ifike salama na vinjio viende fanya ile kazi imekusudiwa
 
Mkuu mi nimeangalia hiyo habari bbc jamaa nilimpenda sana anaongea vizuri sana ni kwel mabadiliko kila mahali sasa
 
Lowasa ajiandae tu sasa ikulu ni yake
 
Chama cha upinzani nchini Canada cha Liberal
kimeshinda uchaguzi mkuu na kufikisha kikomo
uongozi wa karibu mwongo mmoja wa chama cha
Conservative.
Chama hicho kinachoegemea siasa za mrengo wa kati,
chini ya uongozi wa Justin Trudeau, kilianza kampeni
kikishikilia nafasi ya tatu kwa mujibu wa kura za maoni
lakini sasa kimeongoza kwa kura.
Bw Trudeau, 43, ambaye ni mwana wa aliyekuwa waziri
mkuu Pierre Trudeau, amesema raia wa Canada
walipigia kura mabadiliko halisi.
Waziri Mkuu Stephen Harper wa chama cha
Conservative amekubali kushindwa na kusema
atang’atuka.
Kampeni za uchaguzi mwaka huu zilikuwa ndefu zaidi na
wengi walidhani kungekuwa na ushindani mkubwa.
Lakini baada ya vituo vya kura kufungwa, Bw Harper
alisema alikuwa tayari amempongeza Trudeau, akisema
chama cha Conservative kinakubali matokeo "bila
kusita”.
Akihutubia wafuasi wa chama hicho wenye furaha
baada ya ushindi, Bw Trudeau alisema Canada ilituma
ujumbe wazi kwamba ni wakati wa mabadiliko.
"Tuliushinda woga kwa matumaini, tulishinda ukosefu
wa Imani kwa bidii. Muhimu zaidi tulishinda wazo
kwamba raia wa Canada wanafaa kuridhika na
machache waliyo nayo,” alisema.
Ni wachache sana waliotarajia chama cha Liberal
kushinda kwa viti vingi. Lakini matokeo ya awali
yanaonyesha watapata viti 184 vya ubunge,
ikilinganishwa na viti 36 pekee walivyoshinda mwaka
2011.
Chama hicho ndicho cha kwanza Canada kutoka
nambari tatu na kushinda uchaguzi.
Chama cha mrengo wa kushoto cha New Democratic
Party (NDP) kinatarajiwa kushinda viti 44, chini ya nusu
ya viti kilivyokuwa navyo bunge linaloondoka.
"Nilimpongeza Bw Trudeau kwa mafanikio haya
makubwa," amesema kiongozi wa NDP Tom Mulcair.
SOURE:BBC
 
asubiri awamu ya sita.

Mtasubiri nyinyi na ccm yenu mnaangalia chama badala ya utaifa taifa letu linanyonywa kwa ajili ya upuuzi wa ccm nyie mmekaa mnashangilia mradi tu mpate buku7 sisi tunataka tufike mahali tz chama hakijipi uhalali eti chenyewe ndo chenye hati miliki ya nchi hii na ndiyo maana tutaipiga chini ccm ili turudishe heshima iliyopotea kwenye nchi hii
 
Tanzania yatatokea mabadiliko kama yaliyotokea Canada.

Lowassa Mabadiliko...............................

Mabadiliko Ukawa..................................

Viva Ukawa...............................................
 
Ccm wanachofanya nikuwatia hofu watanzia, hofu ambayo wacanada wameishinda?
 
Hiyo Mara ya pili Mara ya kwanza chama tawala kilitolewa na hicho kilichotolewa Leo....
 
Inaweza isiwe mfano mzuri kwa sababu uelewa na social status ya Wacanada ni tofauti na Watz, huwezi kumpatia Mcanada rushwa ya T-shirt au Scarf, huko Bongo mtu akipewa T-shirt au Scarf ni zawadi tosha ingawa alipaswa kulipwa maana anatumika kama Bango.
 
Back
Top Bottom