Upinzani washinda uchaguzi Canada

Upinzani washinda uchaguzi Canada

Canada election: Liberals sweep to power
Canada's Liberal Party has decisively won a general election, ending nearly a decade of Conservative rule.
The centrist Liberals, led by Justin Trudeau, started the campaign in third place but in a stunning turnaround now command a majority.
Mr Trudeau, the 43-year-old son of late Prime Minister Pierre Trudeau, said Canadians had voted for real change.
Incumbent Conservative PM Stephen Harper accepted defeat and his party said he will step down as leader.
As it happened: Election results
 
Hao walioshinda balaa.walibarali.Canada wataipata.ndoa za mme na mke ndio basi.
 
Chama cha upinzani nchini canada liberal party cha mrengo wa kati kinachoongozwa na Justin Trudean (43) kimekigalagaza vibaya chama tawala cha conservative kilichodumu madarakani kwa zaid ya muongo mmoja

Matokeo ya awali yanaonyesha pia liberal kushinda viti zaidi ya 184 tofauti na 36 kilivyoshinda mwaka 2011

Ktk utafiti uliokuwa unafanyika,ilionekana kitapata nafasi ya tatu na hivyo kuweka historia ya kutoka nafasi ya 3 mpaka ya kwanza

Waziri mkuu stephen herper amekubaliana na matokeo na yuko tayari kung'atuka

He jumatano wiki ijayo haki kama hii inaweza kujitokeza Tanzania?
 
Wenzetu Waungwana kimya kimya washamaliza !! na kijana mdogo miaka 43 kesha shinda na atakuwa kiongozi wa TAIFA kubwa CANADA !!
 
Chama cha upinzani nchini canada liberal party cha mrengo wa kati kinachoongozwa na Justin Trudean (43) kimekigalagaza vibaya chama tawala cha conservative kilichodumu madarakani kwa zaid ya muongo mmoja

Matokeo ya awali yanaonyesha pia liberal kushinda viti zaidi ya 184 tofauti na 36 kilivyoshinda mwaka 2011

Ktk utafiti uliokuwa unafanyika,ilionekana kitapata nafasi ya tatu na hivyo kuweka historia ya kutoka nafasi ya 3 mpaka ya kwanza

Waziri mkuu stephen herper amekubaliana na matokeo na yuko tayari kung'atuka

He jumatano wiki ijayo haki kama hii inaweza kujitokeza Tanzania?

Kumbe inawezekana kubadilisha matokeo ya tafiti.
 
Yes it is their decision, but we have to remember that 25/10/2015 is our historical election that aiming to remove ccm as ruling party. This is a time for change.
 
Canada na Tanzania ni vitu viwili tofauti huwezi kukubali kuchaguliwa rais na muuza malaya Bilicanas. Jambazi sugu haliwezi kuwa rais wa tano. Canada walifuata democracy sisi tunalishududia Jambazi sugu lililouzwa kwetu kama mbuzi kwenye gunia. Nashangaa hata wale ambao kidogo wamepangusa matongotongo kwenye true democracy wanapata wasi wasi na hili, phew!
 
Kwa mujibu wa nec,57% ya waliojiandikisha ni wa umri kati ya 18-36 ambani ni 12,894,576, wakifuatiwa na 25% umri kati ya 36_50 ambao ni 5,690,668, pia 51+ ni 18% ambao ni 4,165,544.kwa kifupi 82% ktk mchanganuo wa nec mm nawaona kama vijana,kundi LA kwanza kizazi kipya cha vijana na la pili vijana waasis wa upinzani
Ni hakika iliyo wazi kuwa vijana ndio wameshikilia kura za ushindi za mwaka u,na wachambuzi wa mambo kundi hili LA vijana kwa % kubwa ni wana ukawa na hivyo uwezekano wa lowasa kushinda tena kwa kura nyingi
 
''Upinzani washinda uchaguzi Canada

  • Saa 4 zilizopita
Mshirikishe mwenzako

151020082012_justin_trudeau_512x288_afp.jpg

Trudeau ni mwanawe aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo marehemu Pierre Trudeau Chama cha upinzani nchini Canada cha Liberal kimeshinda uchaguzi mkuu na kufikisha kikomo uongozi wa karibu mwongo mmoja wa chama cha Conservative.
Chama hicho kinachoegemea siasa za mrengo wa kati, chini ya uongozi wa Justin Trudeau, kilianza kampeni kikishikilia nafasi ya tatu kwa mujibu wa kura za maoni lakini sasa kimeongoza kwa kura.
Bw Trudeau, 43, ambaye ni mwana wa aliyekuwa waziri mkuu Pierre Trudeau, amesema raia wa Canada walipigia kura mabadiliko halisi.
Waziri Mkuu Stephen Harper wa chama cha Conservative amekubali kushindwa na kusema atang'atuka.
Kampeni za uchaguzi mwaka huu zilikuwa ndefu zaidi na wengi walidhani kungekuwa na ushindani mkubwa.
Lakini baada ya vituo vya kura kufungwa, Bw Harper alisema alikuwa tayari amempongeza Trudeau, akisema chama cha Conservative kinakubali matokeo "bila kusita".
Akihutubia wafuasi wa chama hicho wenye furaha baada ya ushindi, Bw Trudeau alisema Canada ilituma ujumbe wazi kwamba ni wakati wa mabadiliko.
"Tuliushinda woga kwa matumaini, tulishinda ukosefu wa Imani kwa bidii. Muhimu zaidi tulishinda wazo kwamba raia wa Canada wanafaa kuridhika na machache waliyo nayo," alisema.
Ni wachache sana waliotarajia chama cha Liberal kushinda kwa viti vingi. Lakini matokeo ya awali yanaonyesha watapata viti 184 vya ubunge, ikilinganishwa na viti 36 pekee walivyoshinda mwaka 2011.

151020042128_canada_election_512x288__nocredit.jpg
Chama cha LIberal kimeahidi kutekeleza mabadiliko halisi Chama hicho ndicho cha kwanza Canada kutoka nambari tatu na kushinda uchaguzi.
Chama cha mrengo wa kushoto cha New Democratic Party (NDP) kinatarajiwa kushinda viti 44, chini ya nusu ya viti kilivyokuwa navyo bunge linaloondoka.
"Nilimpongeza Bw Trudeau kwa mafanikio haya makubwa," amesema kiongozi wa NDP Tom Mulcair.


Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako''
http://www.bbc.com/swahili/habari/2...inda_uchaguzi_canada?ocid=socialflow_facebook
 
I must agree with you on this issue, for the most part people there think they are voting for change but they are not aware that same people control both parties and the politician are bought and paid for.
 
Zikiwa zimebaki siku 4, Tanzania kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, nchini Canada usiku wa leo upinzani umeibuka na ushindi mkubwa na kuingo'a chama cha Conservative kilichoka madarakani kwa zaidi ya miaka 30.

Justine Trudeaus ambaye ni kiongozi wa chama cha Liberal ameibuka mshindi kwa kupata asilimia 54.4% dhidi ya Stephene Harper ambaye ni kiongozi wa sasa wa nchi hiyo (sitting PM) aliyepata 29.9%.....

Ushindi wa Trudeaus ulichochewa zaidi na aina ya kampeni yake, iliyobeba dhana ya mabadiliko iliyowagusa wananchi zaidi. Na pili, mgombea huyo aliungwa mkono zaidi na vijana.

Haya yakiwa yanatokea huko Canada, nchini Tanzania zimebaki siku 4 tu, kufika tarehe 25.10.2015 ambayo ni siku ya uchaguzi...

Wachambuzi wa siasa na wataalam wa sayansi ya siasa akiwemo Prof. Nyengo wamesema kilichombeba Trudeaus ndiyo hicho hicho kitakachombeba mgombea wa CHADEMA na anayeungwa mkono na umoja wa Ukawa, Ndg. Edward Lowassa. Mosi, ni dhana nzima ya mabadiliko aliyobeba Lowassa, na ni kweli wananchi wanataka mabadiliko, wamechoka hali duni ya maisha. Na pili, ni uwingi wa vijana waliojiandikisha. Ni zaidi ya asilimia 59.86% ya vijana wamejiandikisha na wako tayari kupiga kura ifikapo oktoba, 25....

Prof. Nyengo kamalizia kwa kusema, watanzania wajiandae kupokea mabadiliko kama leo yalivyopokelewa nchini Canada, tena kwa amani na utulivu, na huo ndio ukomavu wa demokraisia.....
 
na sababu kuu za kushindwa kwa chama kikongwe-Conservative ni, kutokutekeleza ahadi zake walizozitoa kwa wananchi....
 
Back
Top Bottom