Upinzani washinda uchaguzi Canada

Upinzani washinda uchaguzi Canada

tutayapokea,ila naona maccm yanajaribu kuweka vigingi vya marufuku ya mita 200 na magari ya washa washa...ila tutashinda
 
Mabadiliko ni lazimaaaaaa...!!!

Lowassa, UKAWA ndio mpango mzima.., CCM sio kabisa...!!
 
Tofauti itakuwa ni moja kubwa. Mshindi wa Tanzania anatarajiwa kushinda kwa kupata asilimia kubwa zaidi ya huyo Canada!

Mabadilikoooo!
 
Kazi ipo tz ccm hawawezi kukubali kushindwa kirahisi wanaandaa kwa bidii bao la mkono!! Lazime tupige kura ili mabadiliko yaje
 
Kazi ipo tz ccm hawawezi kukubali kushindwa kirahisi wanaandaa kwa bidii bao la mkono!! Lazime tupige kura ili mabadiliko yaje

mkuu hilo unalosema lipo, kwani haya majamaa kuachia kirahisi rahisi tu, ni ngumu sana. lazima kazi ya ziada ifanyike hasa, kura zipigwe kwa wingi sana, na kuzirinda, ila loophole lile la kusema atakayetangazwa na tume ndio rais, na hakuna kuhoji popote!!! busara isipotumika hapa sijui
 
Inaweza isiwe mfano mzuri kwa sababu uelewa na social status ya Wacanada ni tofauti na Watz, huwezi kumpatia Mcanada rushwa ya T-shirt au Scarf, huko Bongo mtu akipewa T-shirt au Scarf ni zawadi tosha ingawa alipaswa kulipwa maana anatumika kama Bango.

Ilikuwa zamani hiyo kabla ya kupata wasap mkuu
 
umefuatialia vizuri?. ni uchaguzi wa pili tangu walivyopata uhuru kutoka France 1958. imagine uchaguzi wa pili chama tawala kushinda kwa 57%. hapa Tanzania ni uchaguzi wa 5, predict what will hapen!!

tena "ushindi" wa 57% pamoja na magumashi kibao, yaani walifunga vituo 400 kwenye ngome za upinzani, wakaongeza wapiga kura watoto kwenye ngome zao, hayo si mabao ya mkono tena hiyo ni kukamata mpira na kukimbia na kutoka nao nje ya uwanja!
 
Ilikuwa zamani hiyo kabla ya kupata wasap mkuu
Whats app iko hadi vijijini ? Huko vijiji mtu akipata T-shirt ya kampeni - Chagua fulani inavaliwa kwa muda wa miaka mitano yote mpaka uchaguzi mwingine unakuja, mbona mpaka sasa kuna maeneo ukienda unakuta watu wamevaa T-shirt chagua Kikwete lakini zilivyopauka !!!
 
Back
Top Bottom