JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,398
- 9,681
Usije jidanganya umakini wa chaguzi za Afrika.hata kama ni mwsho wake akini watrakuw makini zaid chaguz zijazo
Hapo wataongeza mbinu za ushindi tu na maisha yataendela
Usije jidanganya umakini wa chaguzi za Afrika.hata kama ni mwsho wake akini watrakuw makini zaid chaguz zijazo
Hapa kwetu jamaa angesema "over my dead body",na lafudhi yake ilivyo mbovu.
aiseeHapa kwetu jamaa angesema "over my dead body",na lafudhi yake ilivyo mbovu.
Nimeona hata kesi ikiwa inaendelea, lakini wananchi hawakatazwi kujadiliana yanayoendelea mahakamani kupitia tv, radio n.k. tofauti na kwetu ambapo huruhusiwi kabisa kuzungumzia chochote kwa jambo lililoko mahakamani.Tuace unafiki wametuacha mbali sana na katika mengi. Mahakama na mfumo wake iko huru kuliko kwetu. Katiba yao ni shirikishi kuliko yetu na zaidi tume yao iko huru zaidi kuliko yetu. Uchumi wametuzidi sana tu sisi mhata tukichanga nchi zote zilizosalia EA ndio tunawafikia. Wao wana viwanda sisi tuna Vi wonder.
Nimeona hata kesi ikiwa inaendelea, lakini wananchi hawakatazwi kujadiliana yanayoendelea mahakamani kupitia tv, radio n.k. tofauti na kwetu ambapo huruhusiwi kabisa kuzungumzia chochote kwa jambo lililoko mahakamani.Tuace unafiki wametuacha mbali sana na katika mengi. Mahakama na mfumo wake iko huru kuliko kwetu. Katiba yao ni shirikishi kuliko yetu na zaidi tume yao iko huru zaidi kuliko yetu. Uchumi wametuzidi sana tu sisi mhata tukichanga nchi zote zilizosalia EA ndio tunawafikia. Wao wana viwanda sisi tuna Vi wonder.
Ukabila na ukanda unaondoa dhana ya demokrasia, kwasababu kila siku wenye nguvu ndio watafaidi matunda ya demokrasia au kabila lenye watu wengi ndio watashinda mdahalo. Na ndio maana itachikuwa miaka mingi kwa mtu kutoka Mombasa au Turkana au Umasaini kuwa rais wa Kenya.Ukabila na ukanda hayo ni matatizo yao kama wa kenya hiyo ndo tamaduni yao...na ukabila na ukanda is not one of the criteria of democracy...yaan hatu determine democracy kwa kuangalia wanavoishi wao kama tamaduni ila transparency, gov accountability,rule of law, freedom of expression and good governance,...........hayo ya ukabila ni mambo yao ya ndani wala haya athiri hizo sifa apo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wapinzani wa huku ni wanafiki sana coz wao matokeo ya vituo vyote wanakuwa nayo kabla hayajafikishwa tume kwanini akati mwenyekiti anatangaza matokeo feki wasiende mahakaman wanasubir mpk mtu ametangazwa mshindi ndo wanasema hatukubaliani na matokeo akati nafasi ya kwenda mahakamani inakuwa ishafinywa na katiba? Matokeo tunakuwa nayo mwenyekiti akimaliza kusoma matokeo ya majimbo yote anaita mawakala wa vyama vyote waingie ndani kujumlisha sisi hatupeleki mawakala akati tunajua matokeo yamechakachuliwa huu c ndo uzwazwa mshindi akishatangazwa tunaanza kusema tumeibiwa huu ni ujinga wa kiwango cha kibashiteTuace unafiki wametuacha mbali sana na katika mengi. Mahakama na mfumo wake iko huru kuliko kwetu. Katiba yao ni shirikishi kuliko yetu na zaidi tume yao iko huru zaidi kuliko yetu. Uchumi wametuzidi sana tu sisi mhata tukichanga nchi zote zilizosalia EA ndio tunawafikia. Wao wana viwanda sisi tuna Vi wonder.
Kinachokufurahisha nini hapo. Umasikini wako wa akili na mali ndo vinalifanya taifa lako kuwa masikini pia.Tuace unafiki wametuacha mbali sana na katika mengi. Mahakama na mfumo wake iko huru kuliko kwetu. Katiba yao ni shirikishi kuliko yetu na zaidi tume yao iko huru zaidi kuliko yetu. Uchumi wametuzidi sana tu sisi mhata tukichanga nchi zote zilizosalia EA ndio tunawafikia. Wao wana viwanda sisi tuna Vi wonder.
Nipe updatesaisee na mm nafatilia hapa [HASHTAG]#citizen[/HASHTAG] !kweli nimeamini Kenya haipo EA
Hawa wanaojifanya ku-appreciate ndo wanaoibiwa mijini kwa michezo ya karata iitwayo nani kakaona!!kwanza ni makosa na dhambi kubwa kujifananisha nao!tujifananishe na RWANDA
Sio lazima useme hiyo iko wazi kitakwimu za kimataifa.Tuace unafiki wametuacha mbali sana na katika mengi. Mahakama na mfumo wake iko huru kuliko kwetu. Katiba yao ni shirikishi kuliko yetu na zaidi tume yao iko huru zaidi kuliko yetu. Uchumi wametuzidi sana tu sisi mhata tukichanga nchi zote zilizosalia EA ndio tunawafikia. Wao wana viwanda sisi tuna Vi wonder.
exactly....Chochote wanacho ruhusiwa kimepimwa na kuonekana hakina madhara !
Kwani Merakani hawana ukabila? Uturuki hawana ukabila? Leo hivi ni vigumu sana mtu mwenye asili ya Latino kuchaguliwa rais na Obama alipata baada ya miaka 235 ya ubaguzi .Pale Uturuki vigumu sana mtu mwenye asili ya Kurdish kuwa rais wa Uturuki.Ukabila na ukanda unaondoa dhana ya demokrasia, kwasababu kila siku wenye nguvu ndio watafaidi matunda ya demokrasia au kabila lenye watu wengi ndio watashinda mdahalo. Na ndio maana itachikuwa miaka mingi kwa mtu kutoka Mombasa au Turkana au Umasaini kuwa rais wa Kenya.
Wamerhusiwa kukagua mitambo ya IEBC ,mwaka juzi wakafanya fujo hadi maafisa wa tume wakabadilshwa sasa udanganyifu upo wapi? Waliambiwa mara nyingi kwamba IEBC haipigi kura lakini bado wana vijisababu vya kijinga.Kudanganyana tu, mtaalamu wa IT yupo wapi ?!