Upinzani wanasubiri mgombea urais "reject" kutoka CCM

ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,957
1,327
Kwa sasa wapo kimya kama hawapo tanzania na kama hawaoni wala kusikia kinachoendelea. Wanasubiri mchakato wa kupata mgombea ndani ya CCM uishe ili watakaoangukia pua huko ccm wao wawachukue..

Rejea akina mpendazoe kwenye ubunge, shibuda na Arcado Ntagazwa ambao leo ni mizigo katika taifa.

wapinzani hasa CHADEMA ni bure kabisa.
 
Nani anahitaji MAKAPI toka ccm????maana wamekchoka ile mbaya hata wakibebwa hawabebeki Upinzani hauhitaji USED-TOILET PAPERS toka ccm,Maana wanajitoshereza.
 
Sumaye ameahidi kuondoka CCM kama EL atateuliwa kuwa Mgmbea wao, naona wameona kuna opportunity kule.
 
Mawazo mfilisi mambo ya 2010 Bado unayaleta leo wakati unafahamu fika CHADEMA walikwishaanda wagombea wao kwa miaka minne na kuna depth ya kutosha ya watia nia wa CHADEMA. kwa kila jimbo la Tanzania bara kuna wastani wa watia nia si chini ya wa3 na semina nyingi zimekwishafanyika na media zimeripoti. Jitambue mazoea hujenga tabia. Mwiso wa siku utabakiwa na tabia ya kuongea upuuzi muda wote na kurudisha nyuma maendeleo ya familia yako
 
Mawazo mfilisi mambo ya 2010 Bado unayaleta leo wakati unafahamu fika CHADEMA walikwishaanda wagombea wao kwa miaka minne na kuna depth ya kutosha ya watia nia wa CHADEMA. kwa kila jimbo la Tanzania bara kuna wastani wa watia nia si chini ya wa3 na semina nyingi zimekwishafanyika na media zimeripoti. Jitambue mazoea hujenga tabia. Mwisho wa siku utabakiwa na tabia ya kuongea upuuzi muda wote na kurudisha nyuma maendeleo ya familia yako
 
Back
Top Bottom