Upinzani wa Tanzania hauna afya

Upinzani wa Tanzania hauna afya

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,695
Reaction score
1,470
Huo ndio ukweli upinzani limekuwa ni eneo la kusakia fursa badala ya kuleta mawazo mbadala ya kuwapatia wananchi maendeleo ya kweli. Awamu hii fursa za kisiasa zimepungua na mirija ya kunyonyea imezibwa, hivyo itawashangaza wengi kuona wimbi kubwa la viongozi waliojiaminisha kuwa wapinzani wakirejea CCM. Binafsi sitashangaa kabisa kuwaona Lissu na Mnyika wakikabidhiwa kadi za CCM kwani msimu umebadilika. Ahsante!
 
Sababu ni kuwa hakuna uhuru wala haki ya kufanya siasa zenye afya wala mijadala yenye akili! Mukulu akiruhusu wapinzani watakuwa na afya! Mshauri abadili utaona watu wanavyofunguka!
 
Upinzani unaeza fanya vizuri zaidi lkn ....wanajua wao
 
Mna hangaika bure ccm.na movie zenu za kupanga,upinzani usingekuwa na afya.usingekatwa kufanya mikutano ya kisiasa,wasingekamatwa.
 
Hivi Lowasa au Sumaye wakifanya mikutano wataongea nn hasa ? Lowasa dakika 3 nyingi Sumaye Mr ziro
 
Huo ndio ukweli upinzani limekuwa ni eneo la kusakia fursa badala ya kuleta mawazo mbadala ya kuwapatia wananchi maendeleo ya kweli. Awamu hii fursa za kisiasa zimepungua na mirija ya kunyonyea imezibwa, hivyo itawashangaza wengi kuona wimbi kubwa la viongozi waliojiaminisha kuwa wapinzani wakirejea CCM. Binafsi sitashangaa kabisa kuwaona Lissu na Mnyika wakikabidhiwa kadi za CCM kwani msimu umebadilika. Ahsante!
CCM kama fisi anayesubiri mkono wa mtu uanguke
 
Nawashangaa sana chama cha makinikia. Mlienda shule kusomea ujinga? Leo wapinzani wakiandaa hata mahafali tu chuoni. Polisiccm hawa hapa wanazuia. Ila UVCCM wakiandaa ruksa. Halafu leo mnajisifu na Yohane Pondamali Magugu kuwa mewatokemeza wapinzani.
Mtihani utunge ww, ujisahihishe ww halafu ujisifie umepata mia.
Kwa taarifa yako tu upinzani siyo Mbowe, Lowasa au Tundu Lissu.
 
Hao wote uliowataja hawajawahi kuwa wapinzani!
 
Huo ndio ukweli upinzani limekuwa ni eneo la kusakia fursa badala ya kuleta mawazo mbadala ya kuwapatia wananchi maendeleo ya kweli. Awamu hii fursa za kisiasa zimepungua na mirija ya kunyonyea imezibwa, hivyo itawashangaza wengi kuona wimbi kubwa la viongozi waliojiaminisha kuwa wapinzani wakirejea CCM. Binafsi sitashangaa kabisa kuwaona Lissu na Mnyika wakikabidhiwa kadi za CCM kwani msimu umebadilika. Ahsante!

Mkuu naona unarudia yale yale ambayo wanazungumza wenzio walio kwenye angle yako. Naomba nikuulize, hivi nchi yetu sasa hivi unaweza kusema tunafuata mfumo upi ubebari au ujamaa? Sasa hivi sio ccm wala upinzani unaoweza kusimama na kusema unafuata mfumo fulani, katika mazingira hayo unawezaje kupima uwezo au udhaifu wa upinzani na chama tawala? Nchi ambayo kila awamu ikibadilika inakuja na mwenendo mpya bila kujali mipango endelevu unapimaje uwezo wa upinzani?
 
Mkuu umenena vema, ni kwamba huwezi kuwatofautisha kiitikadi CCM na hivi vyama mbadala ndomana nasema upinzani hauna afya au kwa lugha nyepesi, hakuna upinzani Tanzania. Chadema ya Lowasa ina tofauti gani ya kiitikadi na CCM?!!!
 
Mkuu kama cdm ni dhaifu na ccm ni dhaifu hukuwa na haja ya kusema upinzani wa nchi hii hauna afya. Ungerahisissha tu kwa kusema siasa za nchi hii ni dhaifu, hapo ungeelewaka boss.
 
Sidhani kama unajua maana ya upinzani. Usione haya kujifunza kama hujui.
 
Back
Top Bottom