Nakubaliana na wewe kabisa!! Jaribu kufuatilia kinachoendelea sasa hivi ingawa Bunge halionekani lakini tunapata clip na utaona wanaofunguka na kushangilia ujinga ni akina nani????.Nampongeza rais kwa mengi lakini kwa hili la kukandamiza na kuonea upinzani hakika watalipa gharama ya kuzuia!!!!!!Mkuu kufunguka sio ndiyo kuwa na afya, unaweza ukawa mfungukaji ikawa unafunguka ujinga tu. Lazima tukubali mirijja ya magumashi imezibwa. Ndiyo maana wapigaji wanajaribu kumuundia zengwe mkulu.