kiparangwaya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 528
- 502
Sawa, nyie chama cha mashetani sera zenu ni mapanga na pyupyu !
Akili yako ipo lwenye mkia wako ulio katika ndio maana unaona kama tunamuonea raisi wako jihulize kwanza kwanin anaishi kwa visasi pili jiulize kwanin siku hizi atoi hotubaAsilimia zaidi ya 90 ni kumuongelea Rais ....maendeleo ya watanzania mtayaongelea lini?
Hajui kuwa wakati ule siasa ilikuwa inashindanwa kwa hoja na leo ni kwa risasi na mapanga.Umeamua kuchagua yanayokupendeza tu wewe. Na hii ni kwa sababu ya elimu ya kata uliyoipata. Unashindwa kutofautisha muktadha wa kisiasa wa enzi hizo na leo halafu unajifanya mtaalam wa comparison? Hopeless. Comparison bila kujali context?
Kweli ujinga ni mzgo, hivi huko kwa wauwaji akili mnafanana!Wakiomba kibali naamini kabisa hawatakataliwa!
Mbunge wa upinzani katika jimbo lake hajakatazwa kuongelea na kufuatilia shughuli za maendeleo...ila kiongozi wa wapinzani ambaye ni division failure anewahadaa wapinzani wenzake kuwa ukifanya mutano unakamatwa.
DR mollel wakati akiwa Chadema alifanya mikutano mingi jimboni mwake kuhamasisha maendeleo na hakuna siku aliyokamatwa.
RIP CHACHA WANGWE!Kweli ujinga ni mzgo, hivi huko kwa wauwaji akili mnafanana!
Taratiibu, acha kuchemka ndugu. Utamuita kila mtu kuwa ni wa Ufipa sababu tu ya kutojituliza na kutafakari ulichokiandika. Watu welevu hutumia comments kuboresha hoja zao . Mimi nimekupa angalizo la kuconsider context katika mjadala wako lakini unaonekana kutoelewa.Kutukana ndio jadi ya wapumbavu wa hapo mavini Ufipa endeleeni kupiga porojo zenu za kiduanzi mkijua ndio kipaumbele cha sisi raia, badala ya kuja na hoja mbadala mnakalia kujadili upumbavu tu
Kwani kutaka uongozi ni dhambiHa ha ha...ndio maana hapo juu nikasema yupo division failure aliyewadanganya kuwa hamruhusiwi kupractise siasa safi kwa maendeleo ya wananchi !fanyeni siasa safi na kwa utaratibu uliopo kwa manufaa ya maendeleo ya wananchi na sio maslahi yenu ya kutaka uongozi!
Nimesoma hakuna mahali panaposema kuomba kibali ili ufanye mkutanoKasome sheria mkuu!
Ni zaidi ya asilimia 90 kwa maoni yangu ni kwamba wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania wanalalamika tu.
Hawana sera au ajenda mbadala ya matatizo yanayowakabili watanzania .
Jambo hili linawapa kiki za msimu tu na kuwaondolea credibility ya kuwa alternative ya Chama dola CCM.
Mfano mdogo hakuna ampinzani anayeongelea hoja let say kwa nini sekta ya michezo nchini ipo hoi ?
Hakuna anayejiuliza kuwa wataalamu wa michezo na sanaa waliograduate kwenye vyuo vyetu wapo wapi kusaidia tasnia husika?
Wapinzani nchini wanaitisha press conference almost kila siku iendayo kwa Mungu kulalamikia yaleyale bila kuja na sera mbadala katika maswala mengi ya uhalisia yanayoigusa jamii.
Thisi is a total failure of Tanzania opposition na wakiendelea hivi kuna haki kabisa kuwafutulia mbali.
POVU RUHUSA ILA UJUMBE MUUFANYIE KAZI!
Sera yenu mbadala nikuua wale walio kataa kuhama na kumwunga dictator uchwara.Ni zaidi ya asilimia 90 kwa maoni yangu ni kwamba wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania wanalalamika tu.
Hawana sera au ajenda mbadala ya matatizo yanayowakabili watanzania .
Jambo hili linawapa kiki za msimu tu na kuwaondolea credibility ya kuwa alternative ya Chama dola CCM.
Mfano mdogo hakuna ampinzani anayeongelea hoja let say kwa nini sekta ya michezo nchini ipo hoi ?
Hakuna anayejiuliza kuwa wataalamu wa michezo na sanaa waliograduate kwenye vyuo vyetu wapo wapi kusaidia tasnia husika?
Wapinzani nchini wanaitisha press conference almost kila siku iendayo kwa Mungu kulalamikia yaleyale bila kuja na sera mbadala katika maswala mengi ya uhalisia yanayoigusa jamii.
Thisi is a total failure of Tanzania opposition na wakiendelea hivi kuna haki kabisa kuwafutulia mbali.
POVU RUHUSA ILA UJUMBE MUUFANYIE KAZI!
inawezekana kuwa kweli kwa asilimia zaidi ya 90Na asilimia 10 waliobaki ndio hawa hapa.
Lipumba
Mrema
Cheyo
Dovutwa
Hii ni ushahidi mwingine wa hoja na sera zenu...KULALAMIKA NA KULAGHAISera yenu mbadala nikuua wale walio kataa kuhama na kumwunga dictator uchwara.
Inawezekana kufanya siasa mikutano ya ndani inayokutanisha viongozi tu. Au hiyo siasa Safi wakafanyie wapi tena maana Baba yenu alisema ""uchaguzi umekwisha sasa tufanye kazi"". Hivi vyama vya vinafanyia kazi zake vikao vya ndani ambapo napo wanafwatiliwa piaHa ha ha...ndio maana hapo juu nikasema yupo division failure aliyewadanganya kuwa hamruhusiwi kupractise siasa safi kwa maendeleo ya wananchi !fanyeni siasa safi na kwa utaratibu uliopo kwa manufaa ya maendeleo ya wananchi na sio maslahi yenu ya kutaka uongozi!
Mla rushwa na kusaliti chama laana ya upadre itamwandama ata tanga tanga kama kunguruBahati mbaya sana ile CHADEMA ya Dr. Slaaa imepotea, wakati huo chama kilikua chama mbadala kwa maana kila jambo kuanzia elimu, afya, maji n.k kilijadiliwa kwa utofauti...Yaani ilikua hiviii Serikali inafanya jambo CHADEMA wanasema Serikali inakosea hapa na sisi tukipata nafasi tutafanya vile, huo ndio upinzani kuonyesha njia mbadala...Sasa hivi wameishia kumsema Rais, yaani wao nikujadili alichosema Magufuli, hii inamaana wao kama chama ikitokea Magufuli hajaongea hawana chakusema, huo ndio uanaharakati sarakasi, kulalamika tu hawana tena shida na matatizo ya raia
inawezekana kuwa kweli kwa asilimia zaidi ya 90
Unaitazama michezo na sanaa kwa jicho gani?
Hujui umuhimu wa michezo na sanaa?
Kwahiyo muwe mnaua watu wana wachekea Dunia nzima wameliona see you on Zanzibar RevolutionHii ni ushahidi mwingine wa hoja na sera zenu...KULALAMIKA NA KULAGHAI
Nenda kamuulize Dr Mollel alikuwa anafanyaje mikutano ya maendeleo jimboni mwake bila bughudha wakati huo akiwa Chadema.Inawezekana kufanya siasa mikutano ya ndani inayokutanisha viongozi tu. Au hiyo siasa Safi wakafanyie wapi tena maana Baba yenu alisema ""uchaguzi umekwisha sasa tufanye kazi"". Hivi vyama vya vinafanyia kazi zake vikao vya ndani ambapo napo wanafwatiliwa pia
Platform mnazotumia kulalamika mnashindwaje kutumia kutuwekea mipango mmbadala
Nenda kamuulize Dr Mollel alikuwa anafanyaje mikutano ya maendeleo jimboni mwake bila bughudha wakati huo akiwa Chadema.