Upinzani Tanzania hakuna, wapi mawazo mbadala?

Upinzani Tanzania hakuna, wapi mawazo mbadala?

Acha unafiki dogo, kama unaamini unachosema, ni kipi klifanya Zitto akamatwe juzi na kulazwa sero alipoenda kutembelea kata walizopata chama chake kukagua miradi ya maendeleo? Ama unadhani hatujui kwamba huwa mnahujumu waziwazi jitihada za wapinzani kuleta maendeleo kisa mnaona wataungwa mkono na umma? Tunawajua kwa maneno yenu ya kinafiki na hata tabia.
wewe ndio unafanya unafiki mkubwa...kilichomshinda zitto kufuata taratibu za kufanya hiyo mikutano yake ni kipi kama sio kutafuta kiki?
hivi Zitto alishindwa nini kuinform authorities kwamba anataka kutembelea kata zinazoongozwa na ACT kwa minajili ya kukagua wanachokitekeleza.
He did it unlawfully and purposely ili akamatwe na a baadaye aturushie twitter!
msifanye watu ni wapuuzi !
fuata taratibu zote tuone kama utazuiiliwa!
Tuache unafiki na kusaka kiki!
 
Utachekwa wewe, hizo taratibu zinawahusu wapinzani tu?
 
Wakiomba kibali naamini kabisa hawatakataliwa!
Mbunge wa upinzani katika jimbo lake hajakatazwa kuongelea na kufuatilia shughuli za maendeleo...ila kiongozi wa wapinzani ambaye ni division failure anewahadaa wapinzani wenzake kuwa ukifanya mutano unakamatwa.

DR mollel wakati akiwa Chadema alifanya mikutano mingi jimboni mwake kuhamasisha maendeleo na hakuna siku aliyokamatwa.
...Ninyi ule mchezo wenu hatari wa pyu pyu huwa mnaomba kibali?
 
Nenda kamuulize Dr Mollel alikuwa anafanyaje mikutano ya maendeleo jimboni mwake bila bughudha wakati huo akiwa Chadema.
Rudi kwenye mada, achana na Dr uchwara huyo mchumia tumbo anahama hama vyama kama bendera fuata upepo. Km alikua na nia yakusaidia jimbo si angemshinda kura za maoni 2015 dhidi ya Mwandri akapeparusha bendera ya CCM. Nini kilimkimbiza kama si kuchumia tumbo!
 
Hujui hata ni lini Mollel alianza kulinyatua hilo jimbo...hujui amesacrifice nini kwa ajili ya jimbo hilo...by the way Mollel aliacha kazi serikalini kwa sababu ya jimbo la SIHA!
 
Mabadilikoooooo! Tanzania bila mabebari yaliyojivisha ngozi ya ""neno Demokrasi"" CCM inawezekana! Utumwani tutatoka tu
 
Mabadilikoooooo! Tanzania bila mabebari yaliyojivisha ngozi ya ""neno Demokrasi"" CCM inawezekana! Utumwani tutatoka tu
sidhani kama hata wewe umeelewa ulichopost!
 
Ni zaidi ya asilimia 90 kwa maoni yangu ni kwamba wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania wanalalamika tu.

Hawana sera au ajenda mbadala ya matatizo yanayowakabili watanzania .

Jambo hili linawapa kiki za msimu tu na kuwaondolea credibility ya kuwa alternative ya Chama dola CCM.

Mfano mdogo hakuna ampinzani anayeongelea hoja let say kwa nini sekta ya michezo nchini ipo hoi ?
Hakuna anayejiuliza kuwa wataalamu wa michezo na sanaa waliograduate kwenye vyuo vyetu wapo wapi kusaidia tasnia husika?

Wapinzani nchini wanaitisha press conference almost kila siku iendayo kwa Mungu kulalamikia yaleyale bila kuja na sera mbadala katika maswala mengi ya uhalisia yanayoigusa jamii.

Thisi is a total failure of Tanzania opposition na wakiendelea hivi kuna haki kabisa kuwafutulia mbali.

POVU RUHUSA ILA UJUMBE MUUFANYIE KAZI!
We jinga unasikilizaga bunge? Umewahi fatilia bajeti na mipango ya maendeleo ya mawaziri vivuli(wa upinzani)? Umekuwa shabiki maandazi hata huelewi kinachoendelea. Kifupi huyo mwenyesifa wa csiem anaigaiga sera za upinzani japo anaziboronga...mambo ya madini,bandari,utalii,elimu,maji,umeme,afya,uwajibikaji,ulinzi,michezo nk. yamekuwa yakiainishwa na wapinzani kila leo sema vichwa vizito kuelewa kitu cha dakika inachukua mwaka!
jingalao linaposhindwa kuelewa hata linapoelimishwa hugeuka kuwa pumbafulao...
 
Jamani sera ya chadema ya elimu bure, ya kuondoa ufisadi, ya kuondoa, ya kuthibiti wawekezaji katika madini, ya kutoa title did za ardhi na kathalika ndizo hizo mlizozifanya ilani ya ccm na mnalazimisha kila mtu atekeleze. Na tumekubali kutekeleza kwani tunalipa kodi.
Bahati mbaya sana wala hamjui jinsi ya kutekeleza basi. Shame on you. Eti mnahidai nazo sasa. Wakati mafisadi wote wako bado ccm. Shame on you.
 
Kodi kodi kodi kodi! Kila mtu analipa kodi. Hivyo acheni kudanganya wananchi kuwa bila ccm hakuna maendeleo.
Miaka 50+ watu 60 kati ya mia hawana maji masafi vijijini!!!!!!!!!!!
What is maendeleo then?
 
Hatufanyi siasa za kuifurshisha CCM. Ndio maana SASA CCM INAPOLA KURA KWA MTUTU WA Bunduki
Mtaendelea kuimba nyimbo zakipumbav mpaka mtakapofutika, real politician na wasomi hujadili issues sio watu, tuambieni mtafanya nini kwenye mambo yanayogusa maisha yetu sio porojo na matusi
 
Mtaendelea kuimba nyimbo zakipumbav mpaka mtakapofutika, real politician na wasomi hujadili issues sio watu, tuambieni mtafanya nini kwenye mambo yanayogusa maisha yetu sio porojo na matusi
Tuwaache ninyi wauwaji dunia nzima inawanyoshea kidole hiyo damu mnayo mwaga inawalilia one day you Will pay for it
 
Kuna ugonjwa wa maluwe luwe inaelekea umeshika kasi kwa "wapenzi" fulani wa siasa-yaani wanaona vitu ambavyo havipo na vilivyopo wanasema havipo. Halafu wanadai wao ni Ma GT.
 
Back
Top Bottom