Upinzani Tanzania hakuna, wapi mawazo mbadala?

wapinzani wakifanya mikutano ya kuongelea michezo hawatakamatwa [emoji16][emoji16]?
Wakiomba kibali naamini kabisa hawatakataliwa!
Mbunge wa upinzani katika jimbo lake hajakatazwa kuongelea na kufuatilia shughuli za maendeleo...ila kiongozi wa wapinzani ambaye ni division failure anewahadaa wapinzani wenzake kuwa ukifanya mutano unakamatwa.

DR mollel wakati akiwa Chadema alifanya mikutano mingi jimboni mwake kuhamasisha maendeleo na hakuna siku aliyokamatwa.
 
Wamekutuma uje utukague sio wapelekee haya machache kwa uchache wake kama yalivyo tafadhali usiende kuongeza mengine kama ya kwako
Amani si bora kulko michezo yako?
Michezo inaweza kuathiri maisha ya watanzania??
Sector ya madini je inaweza kuathiri watanzania?
Sector ya elimu je,
Uhakika Wa maisha ya watanzania?
Uhuru je, au kwa sababu wachache wanao Wa kutosha?
Ulifuatilia uchaguz Wa kinondoni ? Uliwaulza kwa nn walizuia barua za mawakala wa chadema ?
Kesho uje na majibu msomi wao
 
Bahati mbaya sana ile CHADEMA ya Dr. Slaaa imepotea, wakati huo chama kilikua chama mbadala kwa maana kila jambo kuanzia elimu, afya, maji n.k kilijadiliwa kwa utofauti...Yaani ilikua hiviii Serikali inafanya jambo CHADEMA wanasema Serikali inakosea hapa na sisi tukipata nafasi tutafanya vile, huo ndio upinzani kuonyesha njia mbadala...Sasa hivi wameishia kumsema Rais, yaani wao nikujadili alichosema Magufuli, hii inamaana wao kama chama ikitokea Magufuli hajaongea hawana chakusema, huo ndio uanaharakati sarakasi, kulalamika tu hawana tena shida na matatizo ya raia
 
Hizo Sera mbadala wakazitangazie wapi wakati wamekatazwa kufanya siasa!
Uwe unawaza japo hata kidogo unapoleta hoja inayoumiza mamilioni ya watanzania waliopo utamwani mwa CCM zaidi ya miaka 50 sasa
 
Umeamua kuchagua yanayokupendeza tu wewe. Na hii ni kwa sababu ya elimu ya kata uliyoipata. Unashindwa kutofautisha muktadha wa kisiasa wa enzi hizo na leo halafu unajifanya mtaalam wa comparison? Hopeless. Comparison bila kujali context?
 
Inabidi ukalale maana unaongea pumba kwaiyo raisi akifanya mabaya asisemwe
 
Hizo Sera mbadala wakazitangazie wapi wakati wamekatazwa kufanya siasa!
Uwe unawaza japo hata kidogo unapoleta hoja inayoumiza mamilioni ya watanzania waliopo utamwani mwa CCM zaidi ya miaka 50 sasa
Ha ha ha...ndio maana hapo juu nikasema yupo division failure aliyewadanganya kuwa hamruhusiwi kupractise siasa safi kwa maendeleo ya wananchi !fanyeni siasa safi na kwa utaratibu uliopo kwa manufaa ya maendeleo ya wananchi na sio maslahi yenu ya kutaka uongozi!
 
Umeamua kuchagua yanayokupendeza tu wewe. Na hii ni kwa sababu ya elimu ya kata uliyoipata. Unashindwa kutofautisha muktadha wa kisiasa wa enzi hizo na leo halafu unajifanya mtaalam wa comparison? Hopeless. Comparison bila kujali context?
Kutukana ndio jadi ya wapumbavu wa hapo mavini Ufipa endeleeni kupiga porojo zenu za kiduanzi mkijua ndio kipaumbele cha sisi raia, badala ya kuja na hoja mbadala mnakalia kujadili upumbavu tu
 
Bahati mbaya sana ile CHADEMA ya Dr. Slaaa imepotea, wakati huo chama kilikua chama mbadala kwa maana kila jambo kuanzia elimu, afya, maji n.k kilijadiliwa kwa utofauti...Yaani ilikua hiviii Serikali inafanya jambo CHADEMA wanasema Serikali inakosea hapa na sisi tukipata nafasi tutafanya vile, huo ndio upinzani kuonyesha njia mbadala...Sasa hivi wameishia kumsema Rais, yaani wao nikujadili alichosema Magufuli, hii inamaana wao kama chama ikitokea Magufuli hajaongea hawana chakusema, huo ndio uanaharakati sarakasi, kulalamika tu hawana tena shida na matatizo ya raia
mkuu umenielewa sana katika thread hii...makarai yataleta matusi tu.
 
Wakiomba kibali naamini kabisa hawatakataliwa!
Mbunge wa upinzani katika jimbo lake hajakatazwa kuongelea na kufuatilia shughuli za maendeleo...ila kiongozi wa wapinzani ambaye ni division failure anewahadaa wapinzani wenzake kuwa ukifanya mutano unakamatwa.

DR mollel wakati akiwa Chadema alifanya mikutano mingi jimboni mwake kuhamasisha maendeleo na hakuna siku aliyokamatwa.
Vibali vinapatikama wapi, unaweza kutuonesha kimoja tu kinafananaje
 
Hizo Sera mbadala wakazitangazie wapi wakati wamekatazwa kufanya siasa!
Uwe unawaza japo hata kidogo unapoleta hoja inayoumiza mamilioni ya watanzania waliopo utamwani mwa CCM zaidi ya miaka 50 sasa
Platform mnazotumia kulalamika mnashindwaje kutumia kutuwekea mipango mmbadala
 
Wakiomba kibali naamini kabisa hawatakataliwa!
Mbunge wa upinzani katika jimbo lake hajakatazwa kuongelea na kufuatilia shughuli za maendeleo...ila kiongozi wa wapinzani ambaye ni division failure anewahadaa wapinzani wenzake kuwa ukifanya mutano unakamatwa.

DR mollel wakati akiwa Chadema alifanya mikutano mingi jimboni mwake kuhamasisha maendeleo na hakuna siku aliyokamatwa.
Unasema mbunge hajakatazwa kwenye jimbo lake, ni sheria inakataza au mtu?
 
Back
Top Bottom