ukiniambia ni chague nn kati ya utawala na uinzani..
Mm ninachagua upinzani sababu upinzani unakuja baadaya kuwepo utawala na kazi kubwa ni kusema hta kma kitu cha kufikirika(ideal)
lkn ukiwa mtawala lazima uwe harisia(realistic) .
Kwa maneno mepesi upinzani ni kazi inayoweza kufanywa na mtu yeyote hata kama hajasoma.