U ukweliusemwekweupe Member Joined May 2, 2026 Posts 59 Reaction score 52 May 10, 2026 #1 Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 62,730 Reaction score 105,385 May 10, 2026 #2 ukweliusemwekweupe said: Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi Click to expand... Kuna tatizo gani wapinzani wakikosoa kila kitu?
ukweliusemwekweupe said: Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi Click to expand... Kuna tatizo gani wapinzani wakikosoa kila kitu?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 45,278 Reaction score 37,073 May 10, 2026 #3 ukweliusemwekweupe said: Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi Click to expand... kukosa agenda, kukosa pesa na kufilisika hoja ni fedheha sana kwa vyama vya siasa hasa Tanzania. vyama vingi vya siasa wamebaki na mihemko na kuporomosha matusi tu 🐒
ukweliusemwekweupe said: Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi Click to expand... kukosa agenda, kukosa pesa na kufilisika hoja ni fedheha sana kwa vyama vya siasa hasa Tanzania. vyama vingi vya siasa wamebaki na mihemko na kuporomosha matusi tu 🐒
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,183 Reaction score 55,325 May 10, 2026 #4 Kukosoa kila kitu. Kusifia kila kitu.