Upinzani siku tukiwa na WABUNGE NA MADIWANI wengi, nitapiga kura ya urais

100MIL

Member
Oct 28, 2015
22
0
Binafsi nilikuwa muumini wa MABADILIKO nimeumia sana kuliko maelezo kuanguka kwenye uchaguzi huu

Plan B niliyonayo ni kwamba sitapiga kura tena kwenye nafasi ya urais mpk pale siku Tanzania wapinzani watakuwa na nafasi za ubunge nyingi bungeni 134 na zaidi.

Siku ambayo wabunge wa upinzani watakuwa wengi zaidi ya chama tawala bungeni hapo kura yng ya urais nitapiga kwa uchaguzi unaofuata kwa kipindo hicho kwa sbb na imani matokeo hayatabatilishwa
 
Back
Top Bottom