barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Habarini.
Nimekuwa nikimsoma rais JPM, "ANAIPENDA" sana kanda ya ziwa. Kuna maeneo bado hajafanya ziara ila kanda ya ziwa hasa Mwanza ameshafanya ziara kadhaa ndani ya miaka miwili tu. Kwa wale "vipofu" hawajajua kuwa jamaa anawekeza huko maana ndo kwenye kura za decider ktk uchaguzi.
Sipendi sikia hoja ya eti kazuia mikutano ila yeye anafanya. Mnapofanya usajili chukueni watu wenye impact na ukanda huo, vinginevyo ukweli unabaki kuwa kama hamtofanya hivyo urais mtaendelea kuusikia TBC radio.
Kanda zingine ni nusu kwa nusu, huko kwenye watu wengi zaidi ndo decider na jamaa anacheza karata zake vizuri sana mpaka sasa.
Kuna uwezekano tunapoelekea majimbo ya huko machache sana yakawa ya upinzani.
STRATEGISTS WA CHADEMA WAMELALA USINGIZI WA PORNO, wako bize kusajili energy drainers aka watu ambao itawabidi wao CHADEMA watumie nguvu nyingi kuwatetea na kuwasafisha badala ya kutumia muda huo kuuza sera.