Upinzani na hasa CHADEMA, fanyeni juu chini mkajipendekeze nanyi kanda ya ziwa la sivyo urais muusahau!

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
32,323
29,584
Habarini.
Nimekuwa nikimsoma rais JPM, "ANAIPENDA" sana kanda ya ziwa. Kuna maeneo bado hajafanya ziara ila kanda ya ziwa hasa Mwanza ameshafanya ziara kadhaa ndani ya miaka miwili tu. Kwa wale "vipofu" hawajajua kuwa jamaa anawekeza huko maana ndo kwenye kura za decider ktk uchaguzi.

Sipendi sikia hoja ya eti kazuia mikutano ila yeye anafanya. Mnapofanya usajili chukueni watu wenye impact na ukanda huo, vinginevyo ukweli unabaki kuwa kama hamtofanya hivyo urais mtaendelea kuusikia TBC radio.

Kanda zingine ni nusu kwa nusu, huko kwenye watu wengi zaidi ndo decider na jamaa anacheza karata zake vizuri sana mpaka sasa.

Kuna uwezekano tunapoelekea majimbo ya huko machache sana yakawa ya upinzani.
STRATEGISTS WA CHADEMA WAMELALA USINGIZI WA PORNO, wako bize kusajili energy drainers aka watu ambao itawabidi wao CHADEMA watumie nguvu nyingi kuwatetea na kuwasafisha badala ya kutumia muda huo kuuza sera.
 
Ndicho pekee alichobakiza akilini mwake kiongozi kipofu asiye na maono, yeye adui wa nchi hii ni upinzani badala ya matatizo ya watanzania, upinzani haujawahi kuwa tatizo nchi hii, bali tatizo kubwa ni umasikini, ujinga na maradhi ambayo ndio umekuwa mtaji mkubwa kwa wanasiasa uchwara jamii ya JPM
 
Halafu wengine wasema NCHI HII HAKUNA UHURU WA KUTOA MAONI ..... hivi kwa MATUSI hayo kwa KIONGOZI WA NCHI ..... bado tu DHANA HIYO IPO?
 
Engene ya cdm kanda ya ziwa alikuwa rachel mashishanga tangu amtoe imefubaa sana, pamoja na kuwaweka vijana kama dr.mashinji na yule kijana wa bavicha hamna la maana walilofanya.

Mbaya zaidi lile genge pendwa la waendesha bodaboda na machinga wameshapokonywa
 
Halafu wengine wasema NCHI HII HAKUNA UHURU WA KUTOA MAONI ..... hivi kwa MATUSI hayo kwa KIONGOZI WA NCHI ..... bado tu DHANA HIYO IPO?
Hapo kuna tusi gani? Ingekuwa busara ungejibu hoja yake. Tusi ni neno pana sana na yenye tafsiri nyingi, sioni kosa la mchangiaji hapo. Mapenzi yako kwa JPM ndio yakupa hizo hisia
 
Kanda hiyo hiyo ilikuwa ngome ya Upinzani awamu iliyopita, majimbo mawili ya Mwanza mjini na achilia mbali kosakosa ya Mwl. Kashindye pale Shinyanga waliposhinda kwa bao la mkono...CCM walijipanga haswa mpaka wakachukua majimbo yote
 
Habarini.
Nimekuwa nikimsoma rais JPM, "ANAIPENDA" sana kanda ya ziwa. Kuna maeneo bado hajafanya ziara ila kanda ya ziwa hasa Mwanza ameshafanya ziara kadhaa ndani ya miaka miwili tu. Kwa wale "vipofu" hawajajua kuwa jamaa anawekeza huko maana ndo kwenye kura za decider ktk uchaguzi.

Sipendi sikia hoja ya eti kazuia mikutano ila yeye anafanya. Mnapofanya usajili chukueni watu wenye impact na ukanda huo, vinginevyo ukweli unabaki kuwa kama hamtofanya hivyo urais mtaendelea kuusikia TBC radio.

Kanda zingine ni nusu kwa nusu, huko kwenye watu wengi zaidi ndo decider na jamaa anacheza karata zake vizuri sana mpaka sasa.

Kuna uwezekano tunapoelekea majimbo ya huko machache sana yakawa ya upinzani.
STRATEGISTS WA CHADEMA WAMELALA USINGIZI WA PORNO, wako bize kusajili energy drainers aka watu ambao itawabidi wao CHADEMA watumie nguvu nyingi kuwatetea na kuwasafisha badala ya kutumia muda huo kuuza sera.
Hili liko wazi kabisa. JPM anasumbuka kuinua idadi kubwa ya Watanzania waliosahauliwa sana na utawala uliopita hadi kuifanya mikoa hiyo kujikuta ndiyo inayoongoza kwa umasikini ndani ya miaka 10 pekee. Sasa JPM anajitahidi kubalance, kuna majitu mengi mapovu yanawatoka ohhh sijui ni mkabila, mdini na mkanda, endeleeni kumlaumu sijui mkienda huko kuomba kura mtamshitaki kwa wananchi hao?
Wamesahau alivyowanyang'anya majimbo ya Shinyanga na Mwanza, wasubiri waone, mwaka 2020 hata The UK nalo litarudi kwa JPM, japokuwa wale Wakurya, mmhhh sijui maana ni wababe ile mbaya.
 
Habarini.
Nimekuwa nikimsoma rais JPM, "ANAIPENDA" sana kanda ya ziwa. Kuna maeneo bado hajafanya ziara ila kanda ya ziwa hasa Mwanza ameshafanya ziara kadhaa ndani ya miaka miwili tu. Kwa wale "vipofu" hawajajua kuwa jamaa anawekeza huko maana ndo kwenye kura za decider ktk uchaguzi.

Sipendi sikia hoja ya eti kazuia mikutano ila yeye anafanya. Mnapofanya usajili chukueni watu wenye impact na ukanda huo, vinginevyo ukweli unabaki kuwa kama hamtofanya hivyo urais mtaendelea kuusikia TBC radio.

Kanda zingine ni nusu kwa nusu, huko kwenye watu wengi zaidi ndo decider na jamaa anacheza karata zake vizuri sana mpaka sasa.

Kuna uwezekano tunapoelekea majimbo ya huko machache sana yakawa ya upinzani.
STRATEGISTS WA CHADEMA WAMELALA USINGIZI WA PORNO, wako bize kusajili energy drainers aka watu ambao itawabidi wao CHADEMA watumie nguvu nyingi kuwatetea na kuwasafisha badala ya kutumia muda huo kuuza sera.
Ndicho mlichobakisha VIJANA WA KASKAZINI ,,,
Inabidi mpigwe tu maana hamna namna.
 
Mkuu kwa heshima zote naomba nikuambie usifiche ukweli kama unampenda Mheshimiwa Magufuli.
Tumweleze ukweli safari hii ile kauli yake kakosea sana tena sana.
 
Boss barafuyamoto Umeharibu hapo tu uliposema "Wakajipendekeze". Tatizo ninaloliona sasa rangi halisi ya Mh. Rais inaanza kuonekana. Maneno na Matendo tu yanatosha kujua na kuelewa.

Habarini.
Nimekuwa nikimsoma rais JPM, "ANAIPENDA" sana kanda ya ziwa. Kuna maeneo bado hajafanya ziara ila kanda ya ziwa hasa Mwanza ameshafanya ziara kadhaa ndani ya miaka miwili tu. Kwa wale "vipofu" hawajajua kuwa jamaa anawekeza huko maana ndo kwenye kura za decider ktk uchaguzi.

Sipendi sikia hoja ya eti kazuia mikutano ila yeye anafanya. Mnapofanya usajili chukueni watu wenye impact na ukanda huo, vinginevyo ukweli unabaki kuwa kama hamtofanya hivyo urais mtaendelea kuusikia TBC radio.

Kanda zingine ni nusu kwa nusu, huko kwenye watu wengi zaidi ndo decider na jamaa anacheza karata zake vizuri sana mpaka sasa.

Kuna uwezekano tunapoelekea majimbo ya huko machache sana yakawa ya upinzani.
STRATEGISTS WA CHADEMA WAMELALA USINGIZI WA PORNO, wako bize kusajili energy drainers aka watu ambao itawabidi wao CHADEMA watumie nguvu nyingi kuwatetea na kuwasafisha badala ya kutumia muda huo kuuza sera.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mleta mada kila ukipata mlenda na barafuyamoto unazungumza point sana, keep it up gentleman!!
 
Halafu wengine wasema NCHI HII HAKUNA UHURU WA KUTOA MAONI ..... hivi kwa MATUSI hayo kwa KIONGOZI WA NCHI ..... bado tu DHANA HIYO IPO?
Watu dizaini yako huwa mnakomaza shingo kuangalia mpangilio wa herufi badala ya kujikita kwenye hoja. Kujidai "handwriting police"! Hujawahi kuonekana kutoa hoja, umeibuka kwa kuvimbisha mashavu tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kungekuwa na uhuru wa kutoa maoni Ben Saanane asingepotea, Lissu asingepigwa risasi kwa lengo la kumuua, magazeti yasingefungiwa na uchwara asingekuja na sharia uchwa za kuminya uhuri wa Watanzania kujadiliana kuhusu hatima na mustakabali wa nchi yetu.

Halafu wengine wasema NCHI HII HAKUNA UHURU WA KUTOA MAONI ..... hivi kwa MATUSI hayo kwa KIONGOZI WA NCHI ..... bado tu DHANA HIYO IPO?
 
Mimi naomba nitajiwe majimbo au mikoa ya kanda baba Bashite anayoipendelea? Kama ni Ziwa kuna watu mpaka leo wanalala kwenye mahema na kwa ndugu tangu tetemeko. Fikiria Chato ilikuwa Kagera lakini kwa mbinde ikaundiwa mkoa ili mtu atoke huko.
 
Back
Top Bottom