Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,020
- 103,411
Unajua maana ya ugonjwa wa mlipuko? Ugonjwa wowote wa mlipuko huweza kuambukiza na hata kuua kwa muda mfupi, kisha ukaisha wenyewe ama kupatiwa tiba. Mfano mrahisi ni ugonjwa wa kipindupindu au red eyes, magonjwa haya hutokea na kuambukiza kwa haraka mno, ila huisha kwa tiba, au yenyewe automatically. Tafuta mtu mwenye ufahamu wa magonjwa ya mlipuko akupe elimu ya eneo hili.Sasa hivi ndio mnasema haukuwa na madhara makubwa ila wakati ule ndio nyie mliokuwa mnasema kuwa hali mbaya watu wanakufa majumbani kimya mkimya sijui serikali inaficha,hata huyo Magufuli akawa anaambiwa kakimbia Dar sababu ya corona. Humu mitandaoni mada za corona zilikuwa haziishi ila et sasa ndio mnasema haukuwa na madhara makubwa.
Kama ugonjwa hauna madhara makubwa kwanini sasa mlikuwa mnatisha watu wakati huo au sasa ndio mmejua kuwa haukuwa na madhara makubwa na ndio maana zile kelele mmeziache tena?