Uchaguzi 2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

Kwani mie nabisha kuwa corona si ugonjwa wa mlipuko? nachotaka kujua ni kwamba corona(ugonjwa wa mlipuko) imeisha Tz au imepungua?
Imepungua kabisa, na sio Tanzania tu, na sio Tanzania tu bali ni Afrika mashariki yote.
 
Umeweza vp kujua kuwa Tz Corona imepungua? maana kipindi kile wakati serikali inadai kuwa corona imepungua/imeisha watu walisema kuwa huwezi kudai corona imepungua au hakuna bila kupima.
 
TATIZO KUBWA LA WAPINZANI WA NCHI HII HAWANA HAZINA KUBWA YA WANACHAMA HIVI KWA AKILI ZA KAWAIDA UNAKUA VIPI NA UHAKIKA KWAMBA UTASHINDA WAKATI ROBO TATU YA WAPIGA KURA WALIOJIANDIKISHA WOTE NI WANACHAMA WA CCM. HUNA MAJIMBO YA KUTOSHA AMBAYO UNA UHAKIKA WA KUSHINDA KATIKA VITI VYA UBUNGE. MGOMBEA WENU AKIFIKA SEHEMU KUFANYA KAMPENI ANASAHAU KABISA KUWANADI WAGOMBEA WAKE WA UBUNGE ANAISHIA KUKASHIFU NA KUTOA KAULI CHAFU.

MJIPANGE KATIKA HUU MWAKA TUKUTANE TENA 2025.
KWASASA MAGUFULI ANATOSHA MARA MIA ZAIDI YA MGOMBEA WENU.
Kuandika kwa herufi kubwa ni dalili ya kutojiamini. Wanaccm wengi wenye kujitambua wataipa kura Chadema. CCM mpya imechokwa sana. Wewe unajua kwa nini mgombea wenu anafoka foka hadi sauti imemkauka? Taarifa anazo kuwa hata wanaccm watamnyima kura na hana cha kufanya zaidi ya kutegemea uharamia wa kisiasa.
 
LABDA MNGEKUA NA MGOMBEA MWINGINE LAKINI SI HUYU AMBAE KAMPENI MENEJA WAKE NI SHEIKH PONDA, KIGOGO NA AMSTARDAM.

WAMEFAIL KABISA WATUACHE KWANZA WATANZANIA TUMCHAGUE #MAGUFULI
 
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete.

Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi anasema kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani wanasema Korona itaendelea kwa zaidi ya miaka 2 hivyo anasema kama hawa jamaa wakichukuwa nchi chakwanza ni kutufungia ndani watu kwani vingozi wetu walitoa povu sana kuhusu hilo na mpaka leo hawajakanusha au kulitolea ufafanuzi.

Minaona viongozi wetu tukiwa tumebakiza siku hizi chache walizungumzie hili wapiga kura wetu ambao ni wengi sana kwa sasa watupigie kura nyingi na Korona isiwe ishu tena. Kwa sababu kilamtu anajua kipindi cha Korona hari ilikuwa tete sana.
Yes hajakosea, anazungumzia anachokiamini
 
mbona yeye alienda kujificha chato
 
Mungu ni wa watanzania wote tulimuomba kila mmoja kwa imani yake akatusikia wakati yeye akikimbia Dar,Mungu siyo wa ccm,huyo mzee asitafute kiki kupitia korona kana kwamba mungu waccm ndo katuepusha na corona
 
Hiko ni kimoja cha pili ni
40 years rule. Walilazimiaha 2015 wakavuka 40 years. So mwaka huu damu ya kutosha itamwagika sababu wamekiuka hii rule. Na Itakuwa mwisho wao hawatainuka tena.
Utawala wowote huwa hauzidi miaka 40,ccm ilitakiwa ife 2015 ikabebwa na dola,na dola ubeba vyama mfu
 
Mungu ni wa watanzania wote tulimuomba kila mmoja kwa imani yake akatusikia wakati yeye akikimbia Dar,Mungu siyo wa ccm,huyo mzee asitafute kiki kupitia korona kana kwamba mungu waccm ndo katuepusha na corona
Angekuwa rais ni Lissu huyo Mungu mngekuwa mnamuomba mkiwa lockdown kwa sababu Lissu haamini kuwa magonjwa huondolewa kwa maombi.

Ila Magufuli alionekana kama chizi baada ya kuwaambia watu waombi kwa ajiri ya corona na alipokuja kutangaza kuwa sasa hakuna corona baada ya maombi.
 
Hebu niambie nchi gani bado inatangaza idadi ya maambukizi on daily basis Kama ilivyokuwa awali? Magufuli aliona mbali Sana.
Walichukua tahadhari kwani ugonjwa haukuwa unajulikana awali kama ilivyo sasa. Na takwimu walizochukua zinasaidia sasa katika kuujua ugonuwa wa corona na kutayarisha kinga yake. Ile kukataza watu wasiripoti corona kabisa ilikuwa ujinga mkubwa mno!
 
Umeweza vp kujua kuwa Tz Corona imepungua? maana kipindi kile wakati serikali inadai kuwa corona imepungua/imeisha watu walisema kuwa huwezi kudai corona imepungua au hakuna bila kupima.
Hakuna mazishi tena huko makaburini nyakati za usiku, na wala hospitalini hakuna wagonjwa wenye magonjwa yanayofanywa siri na madaktari.
 
Nachokumbuka hayo mazishi ya usiku yalikoma muda sana toka kipindi nyie bado mnapiga kelele za corona,na hadi zile clip zilizokuwa zinasambaa mitandaoni zikionesha mazishi ya usiku zilipotea na muda huo hata maombi ya corona bado,sasa wewe ukija kuniambia sasa hivi habari za mazishi ya usiku nakushangaa.

Tulikuwa tunaambiwa hizo hospitali zinawarudisha wagonjwa wa corona wakajiuguzie nyumbani yani hospitali zilikuwa hazitaki hao wagonjwa ili ionekane corona hakuna kwa maana hospitali hazina wagonjwa wa corona,sasa wewe tena unakuja na habari ya sijui kulikuwa na wagonjwa wa magonjwa ya siri.
 
Una IQ ndogo, na kumbukumbu yako iko chini mno. Hata hiki unachoongea hapa nimegundua upeo wako unapoishia.
 
Wacha bwana wee! Hiyo raha naisubiri kwa hamu. Huwa nafurahi sana nikiona jiwe anateseka
Mungu hadhihakiwi. Magufuli hakuondoa Corona. Hana uwezo huo. Aiondoe duniani kote kwa uwezo wake kama anao. Credit zote ni kwa Mungu na sio kwa mtu. Acheni kumpa mwanadamu utukufu kwa kuwa ikatokea ukaja ugonjwa mwingine hataweza kufanya chochote kwa kuwa hana uwezo huo. Ni Mungu tu!
 
Lissuuu jomba Ni mkombozi wa mambo gani muwe mnatuambia nasisi tujue...kizuri kula na mwenzako jomba..msiwe wachoyo
Mkombozi wa Yale Mambo ya yanayopingwa na vtabu vya dini yeye kasema Chadema watakuwa huru kushughulika bila bughudha.
 
Mungu hadhihakiwi. Magufuli hakuondoa Corona. Hana uwezo huo. Aiondoe duniani kote kwa uwezo wake kama anao. Credit zote ni kwa Mungu na sio kwa mtu. Acheni kumpa mwanadamu utukufu kwa kuwa ikatokea ukaja ugonjwa mwingine hataweza kufanya chochote kwa kuwa hana uwezo huo. Ni Mungu tu!
Halafu Magufuli amekuwa akijipa sifa za kijinga Sana. Anadai kuwa Tanzania ndiyo nchi ya pekee duniani amabayo haikuweka watu wake lockdown. Muwongo sana huyu mzee.

Hapa Afrika peke yake, Kuna nchi 14 ambazo hazikufunga hata shule.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom