Upinzani: CCM ni Hatari kama Dihdydrogen Monoxide

Mwisho wenu umekaribia. Migodi ya dhahabu ya mumeo, soon itakuwa ya Kafulila. Mtabebana na Vibwana vyenu vilivyojichokea, kutwa vinalamba Viagra utadhani Pipi Lambalamba.

Mlitaka umeme wa bure? kapate gilasi ya maji upooze koo, umechemsha.
 
Mwisho wenu umekaribia. Migodi ya dhahabu ya mumeo, soon itakuwa ya Kafulila. Mtabebana na Vibwana vyenu vilivyojichokea, kutwa vinalamba Viagra utadhani Pipi Lambalamba.
Najaribu kuwafikiria wake za hawa mafisadi; kila nikitaka kuwahurumia moyo unaguna...nikiangalia hali za wagonjwa pale Muhimbili, machozi yanatoka! Yenyewe yakipiga chafya tu, tayari wametua Marekani kwa matibabu!
 
Kimeandika DHMO wala hakijui kuwa habari ilikuwa ni Hoax miaka mingi tu nyuma.

Hamjui hata kusoma, hizi shule mlienda kujifundisha ujinga?

Ndiyo maana kila uongo mnaousikia nyinyi mnaushadidia, hii ilikuwa ni test kwenu.

Mwingine anajidai mkemia halafu hajui kuwa dihydrogen monoxide DHMO ni hayo hayo maji. Nimeweka majina zaidi ya matatu huko ambayo hayamaanishi chochote bali ni hayo hayo maji, lakini mlivyokuwa finyu mnafikiri ni hoax au kitu tofauti.

Hizi shule mlizokwenda mlienda kusomea ujinga?
 
FYI, I am a chemist! DHMO was/is a viral joke/a hoax kama ilivyo CCM.

Dah! kuwa na mkemia kama wewe ndio maana tunaona madudu mengi Tanzania.

Hivi ulisoma kweli au ulijidanganya?

For your information, dihydrogen monoxide, hydric acid, hydrogen oxide, hydroxilic acid, H2O vyote hivyo vinamaanisha kitu kimoja tu, MAJI.

Eti leo unajidai mkemia na kuja kusema kuwa ni viral! au Joke! au hoax!

Dah, pole sana, ikiwa hujui kuwa hydrogen monoxide ni maji, basi hata explanation yangu hukuielewa na hata link niliyoweka bado hukuielewa.

Nakusikitikia kuja kujidai ni mkemia.
 
Dah! kuwa na mkemia kama wewe ndio maana tunaona madudu mengi Tanzania.

Hivi ulisoma kweli au ulijidanganya?

For your information, dihydrogen monoxide, hydric acid, hydrogen oxide, hydroxilic acid, H2O vyote hivyo vinaamnisha kitu kimoja tu, MAJI.

Eti leo unajidai mkemia na kuja kusema kuwa ni viral! au Joke! au hoax!

Dah, pole sana, ikiwa hujui kuwa hydrogen monoxide ni maji, basi hata explanation yangu hukuielewa na hata link niliyoweka bado hukuielewa.

Nakusikitikia kuja kujidai ni mkemia.
FaizaFoxy, mbona ESCROW INAKUTESA HIVI? Hata EPA haikuwahi kukutesa kiasi hiki, kulikoni?
 
Last edited by a moderator:

Escrow hainitesi hata chembe, na sitaki kusema mengi kuhusu hilo, naingoja ripoti rasmi.

Unajuwa Benki ya Mkombozi inamilikiwa na nani?
 
Najaribu kuwafikiria wake za hawa mafisadi; kila nikitaka kuwahurumia moyo unaguna...nikiangalia hali za wagonjwa pale Muhimbili, machozi yanatoka! Yenyewe yakipiga chafya tu, tayari wametua Marekani kwa matibabu!

Vipi, benki ya Mkombozi, umeshaiangalia nayo?
 
Kuna mapya huko yamezuka, benki ya Mkombozi? unamjuwa mwenyewe?

Pointless, kila kitu benki ya mkombozi. Benki ndiyo iliyoiba hela au hela zilizoibwa zilipelekwa benki ya mkombozi? Mara nyingi unaleta udini katika mambo yanayogusa Watanzania wote. Hata familia yako itaathirika.
 
CCM ni hatari kama "Dihdydrogen Monoxide", dihydrogen monoxide ni kemikali hatari ambayo pia hujulikana kama hydric acid, hydrogen oxide, hydroxilic acid.

Kemikali hiyo hutumika kwenye viwanda vya nuclear, huweza kusababisha madhara ya kukuunguza vibaya sana, pia inasaidia kutengeneza kutu kwa haraka sana, lakini kemikali hiyo pia hupatikana majumbani mwetu, hutumika kwa kuzuwia moto, hutumika kwa kutayarisha vyakula na pia kwenye baadhi ya dawa tunazotumia.

Ili kuhakikisha Watanzania hatujiongezei madhara kwa kemikali hii hatari inabidi tuhakikishe na tuwe makini kutoitumia, majumbani mwetu, viwandani mwetu, mashuleni na hata mitaani.

Upinzani Tanzania kila kukicha unakuja na hatari mpya ya CCM kubaki kuwepo madarakani. CCM kuendelea kuwepo madarakani ni kama kukubali kuiwacha dihdrogen monoxide iendelee kuwepo majumbani mwetu na huku madhara yake tunayajuwa.

Ni wakati muafaka sasa tuhakikishe kuwa hatukubali kutumia dihdrogen monoxide (CCM) kuwepo Tanzania hii. Madhara ya kuiwacha ni makubwa sana.

Kabla hatuja chukuwa hatua ya kuwacha kuitumia dihdrogen monoxide aka CCM, kwanza tuielewe vizuri hii kemikali;

Dihdrogen monoxide pia kitaalam hujulikana kama H2O. H2O kwa walioenda shule japo kiduchu si kingine bali ni Maji.

Jee, tupo tayari kuacha kuitumia kemikali hii hatari kama upinzani unavyotaka kutuaminisha?

Ukitaka kujuwa zaidi kuhusu dihdrogen monoxide, pitia hapa:
http://geekiez.com/have-you-been-exposed-to-deadly-dihydrogen-monoxide/

Umesoma chemistry wewe? Maana ulichoandika na unachomaanisha ni tofauti. Hachana na wikipedia hakuna shule huko. Wadangaye wengine wasiojua chemistry, hamna kitu umeandika hapo.
 
Sema mada imekupiga chenga tu.
 
HAYA NDIYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA

ELIMU BORA SHULE ZA AWALI

ELIMU BORA SHULE ZA MSINGI NA IDADI IMEONGEZEKA SANA

SHULE ZA SEKONDARI KUNA MAABARA NA VIFAA VYOTE MUHIMU

WANAOMALIZA VYUO VIKUU AJIRA KEDEKEDE TOKA SERIKALINI

SHULE BORA

NYUMBA BORA ZA WANANCHI MAANA KIPATO KIMEONGEZEKA

WANANCHI KUWA NA UWEZO WA KUMUDU MAHITAJI YAO MUHIMU

Zzzzzzzzzzzzzz!!!!! hivi anaota au ndo.......MPYA?

CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee............................
 
Bila maji huwezi kuishi, anamaanisha ccm ni maji ya uhai wa mwanadamu. Watanzania tunahitaji maji kuishi.
 
KIPANYA.jpg
 
CCM ni hatari kama "Dihdydrogen Monoxide", dihydrogen monoxide ni kemikali hatari ambayo pia hujulikana kama hydric acid, hydrogen oxide, hydroxilic acid.

Kemikali hiyo hutumika kwenye viwanda vya nuclear, huweza kusababisha madhara ya kukuunguza vibaya sana, pia inasaidia kutengeneza kutu kwa haraka sana, lakini kemikali hiyo pia hupatikana majumbani mwetu, hutumika kwa kuzuwia moto, hutumika kwa kutayarisha vyakula na pia kwenye baadhi ya dawa tunazotumia.

Ili kuhakikisha Watanzania hatujiongezei madhara kwa kemikali hii hatari inabidi tuhakikishe na tuwe makini kutoitumia, majumbani mwetu, viwandani mwetu, mashuleni na hata mitaani.

Upinzani Tanzania kila kukicha unakuja na hatari mpya ya CCM kubaki kuwepo madarakani. CCM kuendelea kuwepo madarakani ni kama kukubali kuiwacha dihdrogen monoxide iendelee kuwepo majumbani mwetu na huku madhara yake tunayajuwa.

Ni wakati muafaka sasa tuhakikishe kuwa hatukubali kutumia dihdrogen monoxide (CCM) kuwepo Tanzania hii. Madhara ya kuiwacha ni makubwa sana.

Kabla hatuja chukuwa hatua ya kuwacha kuitumia dihdrogen monoxide aka CCM, kwanza tuielewe vizuri hii kemikali;

Dihdrogen monoxide pia kitaalam hujulikana kama H2O. H2O kwa walioenda shule japo kiduchu si kingine bali ni Maji.

Jee, tupo tayari kuacha kuitumia kemikali hii hatari kama upinzani unavyotaka kutuaminisha?

Ukitaka kujuwa zaidi kuhusu dihdrogen monoxide, pitia hapa:
http://geekiez.com/have-you-been-exposed-to-deadly-dihydrogen-monoxide/

Wewe faiza foxy acha unafki wewe c ccm dam dam au umewageuka nguo za kijani baada ya EL kupigwa chini maana jana mlichoma hadi bendera zenu wenyewe
 
Last edited by a moderator:
haya ni maneno kweli yako bibi..au account yako imetekwa na UKAWA...hahaaa faizafoxy katika ubora wake
 
Back
Top Bottom