Upinzani: CCM ni Hatari kama Dihdydrogen Monoxide

Upinzani: CCM ni Hatari kama Dihdydrogen Monoxide

Upinzani wa waadhirika na viroba hauwezi kuishinda ccm.mtabaki kama fisi mkingojea mkono udundoke
 
CCM ni hatari kama "Dihdydrogen Monoxide", dihydrogen monoxide ni kemikali hatari ambayo pia hujulikana kama hydric acid, hydrogen oxide, hydroxilic acid.

Kemikali hiyo hutumika kwenye viwanda vya nuclear, huweza kusababisha madhara ya kukuunguza vibaya sana, pia inasaidia kutengeneza kutu kwa haraka sana, lakini kemikali hiyo pia hupatikana majumbani mwetu, hutumika kwa kuzuwia moto, hutumika kwa kutayarisha vyakula na pia kwenye baadhi ya dawa tunazotumia.

Ili kuhakikisha Watanzania hatujiongezei madhara kwa kemikali hii hatari inabidi tuhakikishe na tuwe makini kutoitumia, majumbani mwetu, viwandani mwetu, mashuleni na hata mitaani.

Upinzani Tanzania kila kukicha unakuja na hatari mpya ya CCM kubaki kuwepo madarakani. CCM kuendelea kuwepo madarakani ni kama kukubali kuiwacha dihdrogen monoxide iendelee kuwepo majumbani mwetu na huku madhara yake tunayajuwa.

Ni wakati muafaka sasa tuhakikishe kuwa hatukubali kutumia dihdrogen monoxide (CCM) kuwepo Tanzania hii. Madhara ya kuiwacha ni makubwa sana.

Kabla hatuja chukuwa hatua ya kuwacha kuitumia dihdrogen monoxide aka CCM, kwanza tuielewe vizuri hii kemikali;

Dihdrogen monoxide pia kitaalam hujulikana kama H2O. H2O kwa walioenda shule japo kiduchu si kingine bali ni Maji.

Jee, tupo tayari kuacha kuitumia kemikali hii hatari kama upinzani unavyotaka kutuaminisha?

Ukitaka kujuwa zaidi kuhusu dihdrogen monoxide, pitia hapa:
http://geekiez.com/have-you-been-exposed-to-deadly-dihydrogen-monoxide/



Mtwara jwtz.jpg watoto wa kijijini.jpg avatar30393_1.jpg View attachment 204604 masikini.jpg unyanyasaji.jpg wassira na komba.jpg View attachment 204608 wachota maji.jpg
 
Nilifundishwa kuto ku-argue na mtu ninaye amini ni fool.
POLESANA;


Jee, unaweza kuwacha kutumia kemikali hatari dihydrogen monoxide?

Naona hata UKAWA inabidi ashindwe kujizuwia kuitumia mara kwa mara:

 
FF una-ka escrow kidogo unigawie nilipie bill ya umeme

Upinzani ni kama mtu asiyejuwa kuogolea, ni lazima ayaogope maji hata ya swimming pool na lazima awatishe wenzake kuwa hiyo ni "dihydrogen monoxide", lakini akijifunza kuogelea na kuwa mtaalam, utamuona mwenyewe akiitafuta "dihydrogen monoxide" na kuisifia, msome aliyejuwa kuogelea kabla yako:

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
 
Umeona eeh.

Watazame wanavyokuja na kushangaa! Utawajua tu jinsi walivyo finyu.
angalia unavyoandika ujinga humu JF ukiwa kwenye siku zako usiwe unapost chochote humu ccm ni wapuuzi sana
 
Back
Top Bottom