upimaji wa viwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini

    Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuratibu upimaji na uidhinishaji wa viwanja 500,000 na mashamba 500. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya viwanja 193,317 vimepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 38.66 ya lengo, huku mashamba 515 yakiwa yamepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 103 ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kiwanja kupimwa ramani ya mipango miji ni gharama sana?

    Habari za saa hizi, wadau. Nimepata tatizo, nikasema nililete hapa JF kwa wadau ili nipate suluhu. Maana JF ni uwanja mpana, na kwangu mimi imeshanitatulia mambo mengi sana ambayo hata sikuomba ushauri. Mimi nilinunua kiwanja. Kiwanja hicho hakikuwa na hati, lakini tayari kishapimwa. Process...
Back
Top Bottom