kama mnafanya kama team sifaham mtakua mmefungua kampuni ipi, sbb kampuni zinazo practice professions lazima ziwe registered na boards husika, na hakuna board inayo register huduma za engineering, architecture, surveying, planning, valuation kwa pamoja. labda kama ni company name tu, au kampuni zile zenye MOU inayofanya kila kitu paka ukute kuna objective ya kusambaza vifaa na spare za meli. hua binafsi nasikitishwa sana kama unapose kama professional wakati hujatimiza vigezo. una dhalilisha taaluma za watu, una walakini katika huduma kwa jamii na zaidi unavunja sheria.